Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

Dawa yao ni manati sisi tuliwahi kuishi sehemu walikuwa wengi tukanunua manati tukawa tunawatungua baadhi so wakiona tu hiyo hali wanaanza kupungua au kuhama kabisa
Kuwalenga sasa
 
Mkuu asubuhi nilikuwa natakiwa kumrudisha mbwa bandani lakini hiyo siku mbwa alikuwa na heka heka nyingi sana. Nilipomrudisha bandani ndio nikagundua kuna huyo ndege hawezi kutembea amejeruhiwa bawa na linatoka damu. Nikaamua kumbeba nikaenda kumuweka nje ya home. Badae ndo wakajazana eneo lile alilokuwepo majeruhi
Ungemtia mawe kum'malizia.
 
tafuta miba ya samaki sana yale matumbo tumbo au kama utawezatafuta pande la samaki

kata vipande vipande nyunyizia sumu yabpanya ile nyeusi kam chenga hivi tegea sehem unajua lazima waje kula hakikisha kuku,paka au hata mbwa hawali mana nao watakufa

trust me wataanguka kama mvua yan wanadondoka kama wote

mie jiran kwangu kuna mti huo ni maskani yan ukiacha ndoo ya maji nie unakuta amegeuza swimming pool anadumbukia humo anapiga mabawa humo anazama humo ili mradi aoge kama njiwa
 
Sasahivi wamepungua sanaaa, kuna wakati walikuwa kero mpaka kwenye vibanda vya chips wananyakua watu misosi

Ifanyike kampeni tokomeza kama miaka ile ya 2000's

Na ni Mzee Ruksa ndio aliwaleta huko pwani kutoka India
Kisa cha kuwaleta
 
Naomba msaada wa haraka wadau. Hivi ni sumu gani ya kuua huyu ndege mweusi kama lami na mwenye laana kubwa?

Hawa ndege ni wasumbufu sana kupita maelezo na wanakiburi sana kisicho na mashiko yoyote. Yote kwa yote ni ndege wenye kisasi sana pale wanapogundua umejaribu kuwadhuru au kuwashambulia.

Changamoto ni hapa kwenye eneo ninaloishi upande wa pili kuna mnazi wameweka kiota hapo sasa wamekuwa wasumbufu sana kwa fujo za kuchafua mazingira wanaweza toka na matakataka wameokota huko wanakuja kutupa eneo hili. Au wanaweza parua mtu bila sababu. Tunashindwa kuanika vitu kwa amani kama nguo nyeupe wanazichafua kusudi kabisa.

Wanaweza anzisha fujo juu ya paa asubuhi wakiwa wengi. Ni kero juu ya kero.

Nani anayefahamu sumu ya haraka. Maana nimejaribu kuharibu kiota chao zaidi ya mara tatu ila wanatengeneza kipya. Na nimeona wapo jike na dume ndio wamekomaa.

Sasa muda huu ni kama wamenijua wakiniona tu wanaanza kuitana kwa kelele na kujazana as if kuna mkutano wa kijiji na kufanya fujo.

Sasa nadhani natakiwa kuweka sumu niuwe huyu bibi na bwana kwenye kiota ili biashara ife. Ningeweza kukata mnazi ila sasa upo kwa jirani na jirani mwenyewe ni wale wa mama sio waelewa. Atasema mnazi unamsaidia nazi na madafu.

Naombeni ushauri wa haraka sana.
Ni PM kesho asubuhi nitakupa jina la dawa, ipo unachanganya na mabaki ya chakula akidonoa akiruka haendi mbali anandondoka. Sema wakifa kwa mara ya kwanza wataitana kwa mamia na unaweza kuogopa. ila usiogope ni tabia yao. Kingine nunua manati ukiwalenga wakigundua wakikuona tu wanasepa
 
Kama unajua kutumia manati itabid uanze nayo. Lkn kua makin manati yasije kukubabua mwenyewe
 
Ni PM kesho asubuhi nitakupa jina la dawa, ipo unachanganya na mabaki ya chakula akidonoa akiruka haendi mbali anandondoka. Sema wakifa kwa mara ya kwanza wataitana kwa mamia na unaweza kuogopa. ila usiogope ni tabia yao. Kingine nunua manati ukiwalenga wakigundua wakikuona tu wanasepa
Ungeweka tu hapa boss kwa faida ya wote maana haya mandege laanatul ni kero kwa kila raia wa Dar.
 
Kunguru hawa wanadaiwa kuletwa na serikali ya uingireza kwa ajili ya kusafisha mji Mkongwe mwaka 1890 ambao kazi kubwa ni kula uchafu na kuingia Tanganyika wakati huo kuingia mwaka 1850 wakining’inia kwenye meli na maboti
Mkuu una hakika na ulichoandika au umenena kwa lugha
 
Kunguru wa Dar
Wajanja Sana
Wanaweza fanya tukio ukadhani hii mbona akili kubwa kufanywa na ndege uyu
Kuna siku waliiba nyama jikoni tulizubaa kidogo tukakuta nyama hamna
Hivi hujui hivyo viumbe visivyoongea ndo vina akili kuliko binadamu?
 
Kuna pear moja dume na dike katoto kao kaliangukia juu ya paa la gari sasa asubuhi naenda job si nikakatoa kwenye paa nikakaweka pembeni nikasepa zangu. huo ugomvi una mwaka wa tatu sasa hivi yaani ikitokea naondoka bila gari ntasindikizwa na kelele karibia mitaa5 mbele, mwaka jana mwanzoni nikahamia Dom nikakaa wee siku nimerudi bado ninao tu 😀😀😀😀😀😀
Hako katoto kao kalikufa?
 
Back
Top Bottom