Weweeeee hapa unampoteza mkuu..labda kama ni mtundu..Mkuu kwanza hakuna s6+ kuna s6 plain na s6 edge/edge+
Pia jaribu kuangalia kama ni international version ama hizi refurb za mtaani,
Zima simu then washa kwa kushikilia cha kupunguza sauti, home na cha kuwashia simu, itawaka kwenye download mode, soma hio model iweke hapa jukwaani.
Refurb zote siku hizi zinaonesha kama international version wakati sio, watu wanacheza tu na hizo software about haiaminiki.Weweeeee hapa unampoteza mkuu..labda kama ni mtundu..
Mwambie apitie kwenye
Setting- about device, hapa ataona device name & model number..
kwa mahitaji zaidi kama baseband version na build number ataenda kwenye Software info...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapigwa copy mshikaji,nenda na polisi ukadai chakoRudisha dukani,samsung hazina huo ugonjwa wa ki stuck.umepigwa hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani,Mkuu kwanza hakuna s6+ kuna s6 plain na s6 edge/edge+
Pia jaribu kuangalia kama ni international version ama hizi refurb za mtaani,
Zima simu then washa kwa kushikilia cha kupunguza sauti, home na cha kuwashia simu, itawaka kwenye download mode, soma hio model iweke hapa jukwaani.
Upo uzi humu alishaelezea kila kitu na details zote,utafuteMkuu samahani,
Kuna uhusiano gani kati ya international version na refurbished?
Nijuavyo mimi refurbished ni simu yoyote iliyofanyiwa marekebisho ikarudi tena sokoni, haijalishi iwe international version au zone/carrier locked...
Means hio yake hata akaikuta ni international version hakuondoi mazingira ya kua refurb,
Mi nahisi shida ya hii simu yake itakua kwenye hardware, Na hii simu kwa mazingira yoyote itakua either refurb au mtumba.
Mkuu asante,,
mahusiano ni kwamba refurb zinatoka nchi zilizoendelea kama USA, Korea, Uingereza, Japan etc nchi hizi simu zinauzwa kimikataba na zinapatikana kwa bei rahisi, pia zinakuwa zinamiss mambo mengi kama vile unlocked bootloader, frequency za mitandao ya simu zote, na mambo mengi, kifupi mitandao husika ya hizo nchi wanafanya kila mbinu kuhakikisha isipotumika kwenye mtandao wao ikupe tabu.Mkuu samahani,
Kuna uhusiano gani kati ya international version na refurbished?
Nijuavyo mimi refurbished ni simu yoyote iliyofanyiwa marekebisho ikarudi tena sokoni, haijalishi iwe international version au zone/carrier locked/unlocked...
Hii ina maana hio yake hata akaikuta ni international version hakuondoi mazingira ya kua refurb,
Mi nahisi shida ya hii simu yake itakua kwenye hardware, Na hii simu kwa mazingira yoyote itakua either refurb au mtumba.