Sumsung GT-S5300 Internet problem.

Sumsung GT-S5300 Internet problem.

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Habari wana jamvi.

Simu tajwa hapo juu, takribani wiki nzima inasumbua intaneti. Tatizo lilianza baada ya kubadili laini. Nimejarbu kucheki kwenye application, proxy; Not set, Port; Not set. Je! Tatizo ni nini? Na jinsi gani kutatua?

Msaada tafadhali.
 
Nenda ofisini mwa wakala wa kampuni ya huo mtandao unaotumia wakufanyie setting za Internet kwenye hiyo simu kama hazijaja automatic.
 
yes,nenda oficini kwa wakala wa mtandao.kuna internet settings zime badilika baada ya kuweka hiyo simcard nyingine.usually ni AP settings
:rapture:
 
Asante sana, hakuna njia yoyote nitakayoweza kuitumia mbali na kwenda kwa Mawakala.
 
Asanteni sana. Tatizo limekwisha.
 
Back
Top Bottom