Sumsung Galaxy S III 19300 Memory Problems

Sumsung Galaxy S III 19300 Memory Problems

Usijali sana Mpwa jana nimenunua mchina wangu iPhone 4S 64GB nimeishia kucheka lakini si mbaya naoeshea jina hivyo hivyo kiutu uzima uzima tu, yaani wameweka kila kitu sawa hadi company kila kitu ni iPhone lakini huko ndani sasa!!!! Kuna Mb sijui ngapi na Memory card yenye 3.5 GB
 
ukowa mkuu! inaonekana jamaa kauziwa sio. lakini neno swipe screen to unlock hili linakuwapo na chini yake kuna icon ya call,browser na kamera.hii simu nanayo wiki ya pili sasa tayari nimei root na nimitoa ics nimeweka cyanogyn 10.

Hebu funguka zaidi kuhusu hayo mafile ya java mkuu. Sinunui galaxy sasa, nasubiri S IV.
 
Usijali sana Mpwa jana nimenunua mchina wangu iPhone 4S 64GB nimeishia kucheka lakini si mbaya naoeshea jina hivyo hivyo kiutu uzima uzima tu, yaani wameweka kila kitu sawa hadi company kila kitu ni iPhone lakini huko ndani sasa!!!! Kuna Mb sijui ngapi na Memory card yenye 3.5 GB

Lah! Hawa jamaa!
 
Mkuu,

1. Ikikaa baada ya seconds inasema kwa chini (bottom) "Slide To Unlock" (inalock na kuaunlock with click sound)

2. Ina home screens 6, unazipata kwa kuclick dots sita ambazo ziko kwa chini, kila ukiclick home screens tatu zinatokea kwa kujichanganya

3. Applications zipo nyingi, nikiclick kwa mfano skype na zingine naambiwa insert memory card, au memory not enough; mara insert T-Flash, au T-Card, inategemea na app ninayotaka kulaunch

4. Najua inatakiwa iwe inarun Android os 4.0.4 (Ice Cream Swandwich), lakini ni os gani inarun wala mpaka sasa sijajua, nimeangalia weee, wapi!

Vitu vinavyofanya kazi, ni kamera ipo nzuri sana, FM radio, kupiga, kupokea, texting, swiping interface ipo vizuri. Inaoneka hivyo hivyo physically kama nilivyoiona ikielezewa na watu mbalimbali Youtube na kusoma tech reviews.

Kama wamenidanganya, duh, wachina kiboko! Najiuliza ikiwa nitaweka MicroSD itaweza kuprocess apps mbalimbali?
umepigwa mchina huyo,tumia tu hivyo hivyo hela yako isikuume sana
 
Hebu funguka zaidi kuhusu hayo mafile ya java mkuu. Sinunui galaxy sasa, nasubiri S IV.
classics njia rahisi hapo ni kufungua "play store" (kama ipo) na ukjaribu kudownload application yeyote, na kama ni Fake hutaweza kuweka file zozote za java wala OS zingine, hata ka Operamini hakata Instal kwasababu simu inakuwa na cloned unknown operating system na haitatambulika kwenye playstore, appstore, ovi store etc!! alafu pia quality ya screen inakuwa ndogo sana yaani very poor pixel desity, touch yake pia inakuwa sio accurate kama ya nokia n97 vile iwekwe kwenye S3, utatumia hizo hizo apps zilizopo kwenye simu bila kuongeza zingine,,internal memory 600kb, 800kb etc,,sauti kubwa kwenye speaker zake, na mara nyingine huwezi kuweka message tones unazotaka...
 
I'm just laughing! Ndio safi nimejifunza.
 
Hebu funguka zaidi kuhusu hayo mafile ya java mkuu . Sinunui galaxy sasa, nasubiri S IV.

Hiyo kitu mimi sijui! Mimi nachukua software google play au blackmart. Sijapta msg kuhusu java files.
 
Nunua kama hukuipenda chukua HTC one x inamwonekano mzuri na screen nzuri sema tatizo betri inakaa na chaji lkn sio sana kama unamatumuzi makubwa
 
Back
Top Bottom