Sumbawanga acheni uchawi

Kumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
Ngoja nimuulize dogo
 
Hiii chamtoto! Kuna yule mgombea ubunge aliyeaswa kutokugobea akakaidi then siku ya mwisho anarudisha form kwa mkurugenzi alitafuta ofisi hakuiona ni huko huko ufipani!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
mmm
 
Porojo nyingi Sana alafu Cha kushangaza Kuna story nyingi kuhusu swax ambazo hata wakaazi hawazifaham lakini watu wa dar wanazijua[emoji1787]
 
Acheni kupiga wanafunzi Mambo ukoloni hayo unampiga wann huyo achana nae kwani litafeli t
 
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
  1. Mwenyekiti wa kamati ya shule anasemaje?
  2. Mkuu wa shule yake anasemaje?
 
uchawi ndio science yetu tuidumushe, ukitumika vizuri utatusaidia kujilinda na kujenga uchumi.

mfano, kupitia uchawi unaweza kulinda nyumba yako bila kuwa na uzio mkuuubwa..
kupitia uchawi unaweza kujilinda bila kucheza boxing wala kung-fu au mabunduki..
kupitia uchawi unaweza kusafiri kutoka dar to new york...kupitia uchawi huwezi kudhulumiwa faida ni nyingi sana, tudumishe science yetu Africa
 
Lakini sasa mbona hatumlogi mzungu ili sie waafrika tutawale dunia au sie hatutaki kuwa the big boys wenyewe?
Kila kitu kina miiko yake kama ambavyo wewe huwezi kula nyoka ila mchina anakula halafu fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…