Sumbawanga acheni uchawi

Mbona mmesahau yale yaliyomkuta Jiwe alipokuwa na ziara huko kusini walipomrushia Moshi ikabidi arudushwe haraka haraka Dar. na toka wakati huo afya yake iliteteleka!!!
 
Mbona mmesahau yale yaliyomkuta Jiwe alipokuwa na ziara huko kusini walipomrushia Moshi ikabidi arudushwe haraka haraka Dar. na toka wakati huo afya yake iliteteleka!!!
Yakweli Ayo?
 
Huamini
 
Ngombe
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]watu hawaamini
 
Jamani khaa
 
Hii stori umetunga kama ni kweli hilo tukio limetokea wilaya gani ili nijaribu kutrace
Kumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
 
Wapelekewe dini na elimu uchawi utakwisha
 
Lakini sasa mbona hatumlogi mzungu ili sie waafrika tutawale dunia au sie hatutaki kuwa the big boys wenyewe?
Ulisha ambiwa mzungu ana uchawi advanced.Mwafrica uchawi wake ni mdogo sana mbele ya uchawi wa mzungu[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…