Sumaye usijitutumue sana, tutakuitia Mary Nagu!

Huyu Sumaye kiboko yake ni yule mwanamke aitwae Mary Nagu.
Kuonyesha jinsi alivyo mwepesi kisiasa, Sumaye alibamizwa vibaya na huyu bibie katika kinyang'anyiro cha ujumbe wa NEC, mwaka 2007.

Bibie tu alimshinda, atamuweza mpiga push up?

Vipi upo kwenye safari yako ya mwezini nini?
 
Mwacheni Sumaye aendelee kuwafundisha CHADEMA jinsi ya kuongoza nchi kama alivyosema CHADEMA hawana watu wanaofahamu jinsi nchi inavyoongozwa.

Kwa lugha nyingine, Tanzania itakuwa kama ilivyokuwa chini ya Sumaye kama Waziri Mkuu.

Yani itapaa kiuchumi.
 
Mtake msitake lowasa ndiye rais wenu
 
Mangula pia alitupwa kwenye kila uchaguzi aliojiingiza. Usicheze na Baba mwenye nyumba.

Ukishahama nyumba, mambo ya NAGU hayapo tena. Kwanza Nagu na Sumaye si walikuwa na uhusiano wa DADA na KAKA ambao wengi walikuwa kuushtukia? Sasa sijui ni wapi walipishana hadi VISASI vikatembezwa.

Back
Top Bottom