hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,282
- 8,602
From waziri mkuu to mwenyekiti wa mtaa?amaa kweli usicheze na dua za wapemba.
Mbona kuna General wa Jeshi ambae ni mkuu wa mkoa na hushangai?
From waziri mkuu to mwenyekiti wa mtaa?amaa kweli usicheze na dua za wapemba.
We ndo unashangaza! Loh!! Unaubongo saizi ya njegere.Mbona kuna General wa Jeshi ambae ni mkuu wa mkoa na hushangai?
angezoea vya kuchinja angebaki CCM kama wengine ambao wanatamani, lkn njaa inasumbua inabd wabaki tu waambulie walau vibudu...Sumaye: Kuwa mpinzani yataka moyo
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.
Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.
Kumbe lilizoea vya kuchinja![]()
Yaani hata mchangani kugumu?Fact
Amekuwa lady j.dees "YAHAYA"Yaani hata mchangani kugumu?
Sumaye ni KIBAIGWA,Je,yale mashamba /ranchi za handeni na bukoba nayo ni ya sumaye?..nayo watampatia azam?Ha haaa! Mashamba yake yako hatarini. Hivi karibuni utasikia yamegawiwa kwa Bhakaresaa!
Jitekenye tu mkuu,ila unganisha ukoo wenu wote hamuwezi hata kumlipa hata mwezi mmojaAnagombea mwenyekiti wa mtaa wa pwani na dsm. Hahaha. Aliyekuwa Waziri Mkuu huyo. Hivi hii inakuwaje. Ni tamaa ya madaraka na ulaji au
Ni kweli naona kama kuna visasi kwake! Mfalme amesema kuwa atawanyang'anya mashamba yote ambayo hayajaendelezwa hataangalia walikuwa na nyadhifa gani hapo zamani! Naona kabisa ana target Mashamba yakiwemo ya Sumaye
Umetoka lini milembe kiongoziMbona kuna General wa Jeshi ambae ni mkuu wa mkoa na hushangai?
Kutoka kua waziri mkuu hadi mwenyekiti wa wilaya sio mchezoSumaye: Kuwa mpinzani yataka moyo
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.
Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.
Kumbe lilizoea vya kuchinja![]()
Kwa nini anasema haya maneno wakati huu?Anawapiga changa la macho wananchi ili wamuonee huruma,bonaTLP, CHAUMA,ni wapinzani lakini ni mteremko tu.si ajiunge nao tu.
Maelezo yake yanashangaza hasa kutokana na wakati ambao ameamua kutasema.Fahari ya maisha ni amani na furaha, kuwa kwenye chama ukakosa mambo hayo ya msingi ktk maisha ni kukiri kukubali utumwa!
Douh! Id nyingine bhana!CCM ndio mama wa SIASA.
Kwa nini anasema haya maneno kwa sasa?Alichokisema Sumaye( kama kweli kasema yeye).....ni kweli kabisa....lakini haioneshi kwamba anajutia....bali anaweka wazi halisi halisi ya maisha ya kisiasa ya vyama vinavyoitwa vya kipinzani hapa nchini....ili wale waliochoshwa na utawala wa CCM wakija huku wasitegemee mteremko.....
Na nina hakika ni wengi waliochoshwa na CCM lakini wanalazimika kuendelea kubaki huko ili mambo yao yawaendeee...vizuri kama yeye alivyowahi kusema.....
Nilichokiona kwa mleta mada ni kuwa kaileta habari hii huku akiwa ana maoni yake tayari.....lakini alichoshindwa ni kushabihisha maoni yake na maaneno ya Sumaye.....hali inayopelekea aonekane watu wamshangae....
Cheo alichonacho pinda sasa je ni sawa na uwazir mkuuFrom waziri mkuu to mwenyekiti wa mtaa?amaa kweli usicheze na dua za wapemba.