Sumaye: Upinzani kugumu kuliko CCM

Sumaye: Upinzani kugumu kuliko CCM

Inabidi avumilie tu kwa sababu maji aliyafulia nguo na sasa hana budi kuyaoga.

Hata hivyo kila mwezi analipwa zaidi ya asilimia 80 ya mshahara wake wa Uwaziri Mkuu.
Hata akilipwa hivyo lakini heshima na umaarufu aliokuwa nao sasa umekuwasawa na wa balozi wa nyumba kumi
 
Nahisi anatafutia njia na sababu ili akirudi ccm watu wasimshangae
 
When you rewind the tape up to Saturday, 22nd August 2015 utamsikia Sumaye akisema amejiunga upinzani ili kuwafundisha wapinzani jinsi ya kuendesha siasa na serikali huku akiwasifu Dk. Slaa na Prof. Lipumba kuwa ni moja kati ya waliousimamisha upinzani vyema.

Dk Slaa has gone and Prof. Lipumba political future has been hanging by a thread since the day Sumaye and Lowassa left CCM to join CHADEMA.

Fastforward mpaka Sunday 9th October 2016 tunamsikia akitoa maneno ambayo ukiyachunguza yanaonyesha aliokuwa anadhani atawafundisha kazi kwa sasa ndio wanaomfundisha kazi ya uvumilivu.

Maelezo ya Mzee wangu Sumaye yanaonyesha yuko katika deep regret and remorse. The journey and new political adventure has cost him something emotionally or financially and led to a punishment or undesirable result.

Haishangazi kwa sasa tunasikia anataka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa.

From Tanzania Prime Minister to CHADEMA Regional Chairman. Hii ni ishara kamili ya frustration for unfinished political business.

Tusije kushangaa kusikia amerudi CCM!

Siasa za Tanzania ni majanga!
Msemaji kweli naiona kweli yako hapo kwenye kurudi sisiem.
 
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Tafsiri yako makini ni ipi? Pinga hoja kwa hoja! Au vidole vinakimbia kasi kuliko mukichwa?
 
Back
Top Bottom