chinyika
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 514
- 424
Karibu nyumbani (CCM) baba Sumaye. Huko CHADEMA wanahitajika wale wenye akili za akina Lema na Lisu.Ataiota sana CCM,kutoka ligi kuu ya Vodacom,hadi kombe la Mbuzi uwanja wa Kinesi.
Karibu nyumbani (CCM) baba Sumaye. Huko CHADEMA wanahitajika wale wenye akili za akina Lema na Lisu.Ataiota sana CCM,kutoka ligi kuu ya Vodacom,hadi kombe la Mbuzi uwanja wa Kinesi.
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
WAPI KINGUNGE?Mtoa mada ameeleza Vema. Upinzani kwisha kazi mpaka waliokimbilia huko wanajutaaaaa kuuparamiaaa!






sumaye mzalendoSumaye: Kuwa mpinzani yataka moyo
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.
Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.
Kumbe lilizoea vya kuchinja![]()
Mr 0FACT
Ni kweli naona kama kuna visasi kwake! Mfalme amesema kuwa atawanyang'anya mashamba yote ambayo hayajaendelezwa hataangalia walikuwa na nyadhifa gani hapo zamani! Naona kabisa ana target Mashamba yakiwemo ya SumayeHa haaa! Mashamba yake yako hatarini. Hivi karibuni utasikia yamegawiwa kwa Bhakaresaa!
Mtu akishastaafau huwa anapewa majukumu mepesi mepesi ya kumkip bize ila pia ambayo hayatamhitaji kutumia nguvu nyingi. Kwa hiyo hakuna ubaya kwa Sumaye kuwa na hicho cheo...From waziri mkuu to mwenyekiti wa mtaa?amaa kweli usicheze na dua za wapemba.
Anagombea mwenyekiti wa mtaa wa pwani na dsm. Hahaha. Aliyekuwa Waziri Mkuu huyo. Hivi hii inakuwaje. Ni tamaa ya madaraka na ulaji auFrom waziri mkuu to mwenyekiti wa mtaa?amaa kweli usicheze na dua za wapemba.
Kwa jinsi alvoharbu alookua serikaln sidhan kama atapata wakifata haki na wasitumie hela, maana washaanza eti kachukuliwa form yaani waache kuwachukulia walioanza na chama na kukipgania afu wamchukulie yy? Ndio yale yale ya profesa yuleAnagombea mwenyekiti wa mtaa wa pwani na dsm. Hahaha. Aliyekuwa Waziri Mkuu huyo. Hivi hii inakuwaje. Ni tamaa ya madaraka na ulaji au