Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,421
Wale viranga wenye mahaba watakuja kusifia, tu ila ingekua kiongozi wa mtaa Mwengine wangesema ameichiwaIla siasa dah.
Kutoka Pm hadi mwenyekiti wa mkoa?
Wale viranga wenye mahaba watakuja kusifia, tu ila ingekua kiongozi wa mtaa Mwengine wangesema ameichiwaIla siasa dah.
Kutoka Pm hadi mwenyekiti wa mkoa?
Namkumbuka sana Sumaye kama mzee wa speed governor. Hana jipya huyu.Sumaye huna jipya umekuwa Waziri Mkuu miaka Kumi lakini ulituzingua tu
Nimesikia kwenye dondoo za magazeti hapa kisiwani kuwa Sumaye amesema kwamba ataiondoa CCM madarakani kabla hajafa. Amenifanya nimkumbuke mzee mmoja aliyeyasema maneno kama hayo kwamba CCM itakufa ndani ya mika mitatu, baada ya muda tukapata habari kwamba yule mzee kagongwa na gari na kufariki dunia. Mungu huwa ana mipango yake na yeye na sisi tuna ya kwetu!!!
Alikuwa anakitafutia nguvu zaidi chama chake cha CCM wakati huo, na kauli hiyo haikuwa mbaya kwa wana CCM bila shaka waliishangilia. Unafikiri kwa kauli ile ya kisiasa sasa hafai kufanya siasa za upinzani?Sumaye aliwahi kuwaambia wafanyabiashara wakitaka mambo yao yanyooke wawe wanachama wa CCM.
Kama hakunaga uenyekiti wa kanda na Mabere Marando ni mwenyekiti wa nini?we ndo umekosea, hakunaga mwenyekiti wa kanda!! sumaye anagombea uenyekiti mkoa wa pwani!!
kwani ameshuka hadhi kivipi, je na viongozi wa CCM wanaong'ang'ania madaraka nao wanataka hadhi zisishuke???
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Moja Kati ya watu ambao sitokaa niwaelewe wanachokizungumza ni huyu waziri mkuu mstaafu ambae alidumu ofisini kwa miaka KUMI yote ya UONGOZI wa MKAPA..Mbowe ametusaliti ana amekigharimu sana chama....
Au ccm ndio itamuondoa yeye kabla haijafa.ataiondoa CCM madarakani kabla hajafa.
Kwa maandishi yako hapa unaonyesha huna sifa za kumwita Sumaye kuwa ni Kilaza. Mwanasiasa au mwanachama wa kawaida anayo haki ya kikatiba kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na katiba hiyo haijaweka sababu za mwanachama/mwanasiasa kuhama. Sumaye sio mwanasiasa wa kwanza kufanya uamuzi huo. Wapo wengi tu na orodha yao inaweza kuwa ndefu mno.Mr.Ziro katika ubora wake kama hayo unayoyasema ni ya kweli, Je, ni kwa nini uliondoka tu CCM baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea Uraisi? kama ulilijua hilo ni kwa nini haukuondoka CCM kabla kwa maana tayari CCM ilikuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 30 na bado ulitaka kugombea Uraisi Chama hicho!
Je, CCM wangekupitisha na leo si ungekuwa Raisi wa JMTZ kwa kupitia CCM?
Arrrggghh chadema pleaseeeee fanyeni IQ testing ya hawa viongozi wenu kabla ya kuwapa madaraka, huyu jamaa he so dumb ndiyo maana Kipanya alikuwa anamuita Mr.Ziro, hivi Mzee Mkapa aliwezaje kufanya kazi mtu ki.laza namna hii?
Moja Kati ya watu ambao sitokaa niwaelewe wanachokizungumza ni huyu waziri mkuu mstaafu ambae alidumu ofisini kwa miaka KUMI yote ya UONGOZI wa MKAPA..
Sijui ataongea nini nimuelewe!
Huyu anajiandaa kurejea alikotoka.!mzee kingunge naye??
Kazi tunayo!!!!!
Ni saw a kulinda lakini lazima ulinzi huo uwe sanjari na kulinda heshima yeye ni mtu mkubwa mno kwa nafasi hiyoKulinda masilahi... ni kweli, hata mimi napenda kulinda masilahi yangu, kila mtu anapenda kulinda masilahi yake, nani asiyependa kulinda masilahi yake? Wewe? Sidhani, hata wewe unapenda kulinda masilahi yako.