Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa

Sumaye: Rushwa ikizidi CCM nitajiondoa

Kasahau?
Tutamkumbusha neno luku limeanza kwa mradi wa kifisadi wa speed governor..ulobatizwa luku..huu ulikua mradi wake.
Pia mradi wa kukamata magari bila sababu za msingi wa majembe ulikua wake
Amesahau mashoga zake ? Nyumbani kwake wahindi walikua hawatoki?
Kuna mashamba kule moro !
NBC na mabenki yaliuzwa akiwa waziri mkuu
Nyumba za serikali wamejisaidia wapendavyo..
Kuna msemo nyani hsini k......
 
hivi huyu Sumaye si ndiye hata wanaCCM wenzake walikuwa wamuita Mr ZERO?
 
Naona Huyu naye amesahau sera za Chama chake kuwa ni Wizi na Rushwa
 
Rushwa zishaanza kutolewa kwa dola ( kama ushahidi upo) hapo si ishazidi na kuvuka mipaka?
 
hypocritequotes-1.jpg
 
hivi huyu Sumaye si ndiye hata wanaCCM wenzake walikuwa wamuita Mr ZERO?

Mwenzio anayo masters ya Harvard na ndiye front runner ktk wagombea ccm. Hiyo zero ni wewe ndiyo umempa? Hawavumi lkn wako!
 
Sumaye pekee ndio ana make sense katika wagombea wa CCM.

Wengin hata kukemea tu rushwa wanaona aibu
 
Ngoja tuone kama kweli atajiondoa ikiwa FISADI Lowasa atapitishwa...mbona huyu Sumaye anataka kututishia nyau?
 
Back
Top Bottom