Sumaye ndani ya Uingereza!

Status
Not open for further replies.

Una hakika kuwa hiyo entitlement iko kwenye job descriptions zao? Kama ni kweli, basi tusishangae kuwa hospitali zetu hazipewi mahitaji ya lazima kutibu kwani kila waziri anategemea hospitali nje!?!
 
Hi Wana JF, have just joined in as a new member. Nategemea kujifunza mengi na kuchangia pia. Big up to all JF members.
 

wewe unasema ni pounds 20 tu, wenzako wenye uchungu na nchi wanamtimua mbunge frank cook wa chama cha labour kwa kutumia pounds £ 5 sawa na elfu nane ya tanzania kwa ajili ya kuchangia kanisa.

Hawa waingereza ni wafadhili wa bajeti ya serikali yetu na wametuacha mbali sana kimaendeleo.lakini bado wanafuatilia pounds tano .wewe unasema £20 tu,soma gazeti hili la the sunday telegraph au www,teleghaph.co.uk.

Kiongozi wa chama bungeni anahojiwa kwa kununua chocolate ukisikia kuwajibika ndio huko.

Katika kujadili matumizi mabaya ya pesa za serikali kama anavyofanya sumaye.tayari wabunge 12 wameachia ngazi kwenye bunge la uingereza.

Mko ulaya hamjifunzi? Kwanini utetee ufisadi kiasi hiki? Una faida gani kuishi nje na ukashindwa kujifunza accountability.
 

Mbunge Frank Cook wa chama cha Labour uingereza anahojiwa kwa kutoa pounds tano kwenye kanisa kama mchango.uingereza ni nchi ya kikristu bado wanamuhoji mbunge kwa mchango wake wa pound tano kanisani.SUMAYE na waingereza nani anaujua ukristu zaidi? haitakiwi kutumia kigezo cha dini kuhujumu kodi za nchi au jasho la walipa kodi.mimi ningehoji sumaye katumia pounds tano mngekuja juu na kuaanza kulalamika kuwa THIS IS TO LOW HATA PAOUNDS TANO MNAHOJI?kuna kitu na SUMAYE.
 
Kikwete, Pinda, Lukuvi na viongozi wengine ambao wana madaraka ya maamuzi kwa sasa hebu mtizameni huyo mama! Hawa ndio wenye uwezo wa kusaidia hapa.

Huyu kanda2 ana issue fulani na Sumaye.

Data za gharama za safari za Vasco da Gama vipi?
Tumeanza na Sumaye ambaye anaiba kwa kutumia jina la kanisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…