dlnobby
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 2,514
- 3,347
Mida hii hapa Magwepande ni kikao kizito kati ya mh Sumaye na wananchi wa Magwepande waliovamia shamba la bwana Sumaye.
Yupo mwenyekiti wa kikao ambaye ni mkuu wa manispaa ya Kinondoni bana Paul Makonda na mwenyekiti wa magwepande.
Kikao kinaendelea maamuzi yakikamilika ntawaupdate wanajamvi lakini upepo unavokwenda bwana Sumaye yupo njia mbaya huenda akaachia viwanja anavyomiliki hapa