Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

Taratibu Chadema inakumbatia wale waliokua wanawaponda, wala rushwa Na mafisadi. Bado fisadi kuu kupewa uenyekiti
 


View attachment 366263

Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani, Sumaye ana wapinzani wawili ambao ni John Gugunita ambaye alihamia CHADEMA kutoka CCM mwaka jana na Gango Kidera.

Nafasi zingine za uongozi ambazo zipo wazi ni ile ya makamu mwenyekiti ambapo watu watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo akiwemo Saed Kubenea, nafasi ya mwekahazina wagombea watatu wamejitokeza akiwemo aliyekuwa naibu waziri wa kazi na ajira wa serikali ya awamu ya nne, Makongoro Mahanga.

MWENYEKITI WA KANDA YA PWANI KUTOKA KANDA YA KASKAZI KWELI MAAJABU
 
Back
Top Bottom