Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

Kwa maoni yangu, siasa haiko hivyo....
Funguka akili utajuwa nini nyuma ya Pazia. Ila ukikalia uchamchama sana hauwezi kuona.
Najuwa weye ni mfia chama, kwahiyo lazima useme ndiyooooooooooo.... Kwakuwa nyie wanasiasa mmeshakaririshwa kuwa mkubwa hakosei.
Kwahiyo kwa hili kwako ni kawaida kwa kuwa iko katika chama chako.....
Hongera kwa kupata jembe litakalopigania demokrasia kama ile ya kuwapeleka pilisi pale mwembe chai wakavunje watu miguu.. Ile ndio demokrasia mabayo nyie mnaihitaji na huyo msafi saaana,,
Haya bana.....

Acha kukishwa maneno ya uongo .
Mwembechai haimhusu Sumaye.
Mwembechai ilikua ni kipindi cha awamu ya pili ya Mzee Ruksa.
Waziri wa Mambo ya ndani alikua ni Mrema na waziri mkuu Malecela.
Sumaye alikua ni mbunge tu na Naibu waziri wa wizara ya Kilimo.

Hizo ndizi propaganda chafu za kuchafua watu badala ya hoja.

Kwa sasa katika bara la Afrika na duniani kote ni lazima pawe na watu wenye uwezo wa kuasi vyama vyao vinavyowapa neema na maisha mazuri ili watete kile wanachokiamini.
Kama tutawaachia wale wasioijua vizuri serikali na utendaji wake ndio waongoze harakati za kutetea uhuru na demokrasia basi tutachelewa kwa kupewa taarifa za uongo.

Hakuna chama tawala duniani kinachoweza kukabidhi nchi kwa watu wasiowafahamu uwezo wao wa kuongoza na uwezo wa kulinda amani.
Kwa sasa vyama vya upinzani ndio vinaweza kukabidhiwa nchi vikiwa na watu wenye uwezo na wanaojua vizuri nchi hii.
Hawa ndio watakaofungua njia na kujenga mfumo wa kitaifa wenye usawa.
Kwa sasa CCM ndio wenye nchi pekee ndio maana hata huko mitaani na maofisini hakuna haki sawa kati ya kada wa CCM na wa vyama vingine. Tumetengeneza matabaka miongoni mwa watanzania tunaolipa kodi sawa tena mara nyingine wale wa CCM ndio wakwepa kodi lakini kwenye ajira za uteuzi wao ndio wanagawana nafasi hata zile sa kitaalam bila kujali mamilioni ya watanzania wasio na vyama.

Songa mbele Mh.Sumaye .
Tunakuunga mkono kuongoza mapambano ya kifikra .

Bondia anatakiwa apigane na bondia kisheria.
 
rudia tena ulichoandika mwembe chai ilikuwa kipindi cha mzee ruksa kweli ,
 
Ni habari njema kwa ustawi wa Taifa la Tanzania
Eti habari njema kwa ustawi wa Tanzania!!! Hivi kweli ikiwa uko timamu unaweza kusema Suma anaweza kuleta mabadiliko kwenye hii nchi!! Amekuwa kwa miaka 10 mfululizo na alikuwa useless with no innovative ideas to move the country ahead economically!! Leo ndo awe msaaada kwa nchi hii!!

Now I see poor chadema heading to hell!
 
Mbona povu limekutoka! Kwann usema Sumaye 10 years into power, not Mkapa!
 
Mkapa anakuja vipi hapa? Kwani Mkapa anagombea nini hadi aingie kwenye huu mjadala!! Tunamuongelea huyu aliyekuwa mchezaji wa EPL kuja kuchezea majimaji kisa anasaka madaraka! PM ni nafasi kuuuubwa sana, siyo nafasi ya kuidhalilisha namna anavyofanya huyu mzee!

BTW, I didn't say 10 years into power, I said 10 years in power! Yes, he was in power as a PM for 10 years and he had nothing to offer to this nation apart from chopping land from the poor, killing people in masjid and the like.
 
Hey guy, can you try stop writing none sense! How can you narrate 10 yrs in power of Sumaye, then you left Mkapa behind! Who was the Big boss by then, did you know the wealth of Mkapa before he came into power, during his reign and after departure from power?

Acha ushabiki au chuki binafsi. Nani aliyekuwa natoa order waislamu wapigwe au wazuiwe kudai haki zao! Tafadhali, tena haki
 
Nilimwacha Mkapa sababu hagombei nafasi yoyote! Hiyo ndo point yangu...

Tukirudi kwenye mada, waziri mkuu siyo robot la kutumwa tu bila lenyewe kuweka input yoyote! Ndo maana leo Ngoyayi anajisifia kusaidia ujenzi wa shule za kata hata Udom pia, sababu aliweka input yake pale!!

Huyu bwana Suma hawezi kukwepa lawama za mauaji! Hata kama yuko cdm leo, hawezi kukwepa kuulizwa kwa nini alikosa ubunifu enzi za uwaziri mkuu wake kwa miaka 10 mfululizo, hadi azidiwe na akina Ngoyayi waliokaa kwenye hiyo position kwa chini ya miaka 3!!

Narudia kusema, huyu Mzee anaidhalilisha position ya uwaziri mkuu, aache tamaa na kudhani watanzania tumesahau ubovu wake na leo ajifanye kamanda!
 
Huu ni Ujinga wa hali ya juu...seriously......hivi Mbowe anakipeleka wapi hiki chama?

Najua wengi hawaelewi yaliyoko nyuma ya haya
∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆∆
""MPINZANI WA KWELI WA CCM ATATOKA NDANI YA CCM"" jk Nyerere.
 
Back
Top Bottom