CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #61
Wamnunulie pampasi!Usipende kupitwa na matukio
Hilo tukio la geita kashalirudia tena huko mtwara baada ya kusikia matokeo ya utafiti wa twaweza
Wamnunulie pampasi!Usipende kupitwa na matukio
Hilo tukio la geita kashalirudia tena huko mtwara baada ya kusikia matokeo ya utafiti wa twaweza
Awe anahutubia karibu na choo.Nasikia na mtwara jamaa kafanya yake tena
Mbona Lowassa havai gwanda?
Anavaa theme colour na shirts zenye theme ya gwanda/CDM (casual)....hujawahi ona wajeshi wakivaa suits zao zenye theme ya army. #SameCase.
Ni kwa nini mr Edo anavaa suruali nyeusi tu!!!
Kwasababu bado anapenzi na CCM.Ni kwa nini mr Edo anavaa suruali nyeusi tu!!!
CCM imetumaliza WATANZANIA badala ya kuleta Maisha bora waongeza ugumu wa. Maisha .
Safi sana hiyoumejimaliza mwenyewe mkuu mbona mbowe, mtei, na mfanano wao wanamaisha mazuri tu chini ya CCM na ww umekuwa mtaji wao bila kujijua