CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #21
Hiyo ni habari pcha.Hiyo picha ya Lowassa hapo mbele ndio habari kuliko habari yenyewe.!
Hiyo ni habari pcha.Hiyo picha ya Lowassa hapo mbele ndio habari kuliko habari yenyewe.!
Hawajitaambui hao.... na hii ni kwasababu ya mahaba!Wenyewe wanasema hata akafie ikulu sawa tu. Actually hata awe kwenye jeneza kura ZAO anazo. Alipo Wapo iwe ICU, kaburini etc. Mwaka huu ni shida!
Mbona Lowassa havai gwanda?Hapa Gwanda tu.
Tanzania Daima ndio huandika uongo.Kama ilivyo kwa magazeti ya Mawio na Mwanahalisi
Mbona Lowassa havai gwanda?
Mbona umepaniki Blaza?Hamna akili za kuwasaidia wasiojitambua isipokuwa ninyi ndio mnahitaji msaada ili mjitambue na kutambua hali iliyopo.Mnamiliki makampeni meneja vilaza wenye akili ndogo na midomo michafu na roho za uchochezi.Mtu anayejitambua huwa anapima kauli kabla haijafika nje ya mdomo pia mtu anayejitambua hawezi kumponda mtu aliye juu yake kwa kuwaridhisha watu wachache.Vichwa vikubwa akili ndogo na nguvu nyingi kuliko maarifa ni kipimo cha kutokujitambua.
Fanya kazi kwa bidii na kujituma..... usitegemee kuletewa pesa nyumbani. Kama CHADEMA kila iku wanachangisha pesa za kampeni, ujue nao ni kama wewe tu!
Kwani Lowassa ni mwanajeshi?Anavaa theme colour na shirts zenye theme ya gwanda/CDM (casual)....hujawahi ona wajeshi wakivaa suits zao zenye theme ya army. #SameCase.
Wachague ili watoe hizo huduma kwa maeneo yaliobakiSitaki wanipe pesa ila tu waendeleze huduma bora za jamii kama maji elimu na hospital
Kwani Lowassa ni mwanajeshi?
Sasa kama Lowassa sio mwanajeshi..... inakuaje umtolee mfano kwa wanajeshi!Acha mawazo mgando ww. Wapi nimesema Lowassa mwanajeshi hapo ?? Una umri gan ??
Sasa kama Lowassa sio mwanajeshi..... inakuaje umtolee mfano kwa wanajeshi!
Sitaki wanipe pesa ila tu waendeleze huduma bora za jamii kama maji elimu na hospital
Anavaa theme colour na shirts zenye theme ya gwanda/CDM (casual)....hujawahi ona wajeshi wakivaa suits zao zenye theme ya army. #SameCase.
Ni kweli kila wakati anakuwa kwenye theme ya cdm kama anavyoonekana hapo gazetini akiwa kwenye theme ya wafuasi wa cdm, yaani MATEJA.
Akivaa gwanda hachomwi sindano kirahisiAnavaa theme colour na shirts zenye theme ya gwanda/CDM (casual)....hujawahi ona wajeshi wakivaa suits zao zenye theme ya army. #SameCase.
Akivaa gwanda hachomwi sindano kirahisi
Hapo nimeongelea mambo ya kawaida ambayo ccm imeshindwa.. Swala la serikali ni kukuza uchumi wa nchiUnataka serikali ya kuleta maji, elimu na hospital tu? Nafikiri hujui majukumu ya serikali kwa RAIA wake. Kwa uelewa wako huyo jitathimi kama unafaa kupiga kura.