Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,581
- 28,562
CONSTRUCTIVE THOUGHT haueleweki. Yaani kila mchangiaji (bila kujadili itikadi au mrengo) umemgongea like. Nilichoamua ni kukupa like pia.
Ha ha ha ha!
Very CONSTRUCTIVE!
CONSTRUCTIVE THOUGHT haueleweki. Yaani kila mchangiaji (bila kujadili itikadi au mrengo) umemgongea like. Nilichoamua ni kukupa like pia.
Fanya kazi kwa bidii na kujituma..... usitegemee kuletewa pesa nyumbani. Kama CHADEMA kila iku wanachangisha pesa za kampeni, ujue nao ni kama wewe tu!
The nonsense that happens to be true.Nonsense
Mkuu kinachotupoteza ni itikadi za vyama vya siasa. Unakuta mtu anapinga ukweli kisa unakiumbua chama chake.Ha ha ha ha!
Very CONSTRUCTIVE!
Upo sawa Mkuu!Ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo utajitenga!!! Hasira kwa vijana wa Chadema ni kama wamepigwa sana na CCM kumbe ni akili za kuambiwa na kusomewa yaliyoko katika taarifa mbalimbali na viongozi wao!!! Tumieni akili zenu vijana wa Chadema msikubali kupelekeshwa maana siku mkija kujua yaliyo nyuma ya pazia mtakuja amua kutokuwa na chama kabisa maishani mwenu!!! Siasa ni mchezo kama ulivyo mchezo wa mpira!!! Uchabiki mzuri ni wa kujenga hoja na sio matusi kama mfanyavyo vijana wa Chadema kwa mwenye mawazo tofauti na mliyopewa na viongozi wenu!!!
Siwezi kukulaumu sababu uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana, mbaya zaidi unamahaba niue!Naona upelekwe mirembe upo sawa kwel?ndio maana mliamua kuwavalisha hao vichàa wenu tshirt za cdm wakafanye fujo wakijifanya wafuasi wa cdm.hapo bado mtatapatapa sana lkn ukweli 25
Sawa kama umekubali ulikuwa unaongea nonsense! Ila siku nyingine usirudie kuongea nonsense!Nonsense.
Ahsante kwa kumjibu ukweli!Unataka serikali ya kuleta maji, elimu na hospital tu? Nafikiri hujui majukumu ya serikali kwa RAIA wake. Kwa uelewa wako huyo jitathimi kama unafaa kupiga kura.
Ahsante Mkuu!CONSTRUCTIVE THOUGHT haueleweki. Yaani kila mchangiaji (bila kujadili itikadi au mrengo) umemgongea like. Nilichoamua ni kukupa like pia.
The nonsense that happens to be true.
By the way anaenda lini Ujerumani for the super shots?
Tutegemee tukio jingine na lile la Chato stand.Siku hiz daktari wake amekataa kumhudumia
maana aliwashauri mzee apumzishwe wakampuuza
Ndio yakayokea yale ya geita
Tutegemee tukio jingine na lile la Chato stand.
Tutegemee tukio jingine na lile la Chato stand.
Ndio sound mlizobaki nazo yaani mmeishiwa hoja mnatapatapa muulizeni bulembo geita..tumegundua mkianza kutukana tunawazomea mwanzo mwisho..
Wanywa viroba bhana
Geita watu walifurika
Na hakuna aliezomewa
bulembo azomewe kwan bulembo ndio aliejinyea geita?
Huna habali au una uliza majibu ww kilaza..
Kwani ni uongo?Ndio sound mlizobaki nazo yaani mmeishiwa hoja mnatapatapa muulizeni bulembo geita..tumegundua mkianza kutukana tunawazomea mwanzo mwisho..