Sumaye amkaanga JK

Sikujua VIONGOZI wengi wa CCM walio MADARAKANI wanayajua fika Maelezo na Maneno ya Mwl. Nyerere... Hadi hilo suala la kutaka kwenda IKULU kwa kuhonga ni wa kuogopa kama UKOMA!!! Lakini sasa MBONA wanaendelea kuhonga ? MKAPA aliyajua hayo bado alifanya visivyotakiwa; Kikwete yeye ndio kabisaa anatupeleka kubaya zaidi ya UKOMA

Viongozi wa CCM ndivyo walivyo; nje ya siasa wanajua kila jibu, ndani ya uongozi bora hata mtoto darasa la tatu anaweza kuongoza nchi!
Sumaye namshauri miaka kumi ya uwaziri mkuu inatosha, apumzike tu ale nchi;
au huko ikulu allisahau nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom