Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 298
Ana hang over ya kukosa nafasi ccm huyu! Hivi kama angekuwa amepata angekuja kufanya press conference na kuongelea hayo anayo ongea?!
Maswali hayakuulizwa ?
Ana hang over ya kukosa nafasi ccm huyu! Hivi kama angekuwa amepata angekuja kufanya press conference na kuongelea hayo anayo ongea?!
Hivi unawezaje kumcriticize mtu kabla ya kumpa nafasi ya kumsikiliza? Tusikilize kwanza mheshimiwa atatuambia nini. Ila kitu kikubwa ninachokiona ni kuwa hili jambo sio zuri kwa CCM na kitendo cha Sumaye kwenda kwenye vyombo vya habari kinasema mengi kuhusu hali ilivyo ndani ya hiki chama.
Mkuu ni kama tumetoka kapa, sijaona kipya alichosema Sumaye, labda ni macho yangu hayasomi vizuri.
Mkuu kwa mujibu wa katiba yetu rais kivuli wa Tanzania ni Dr Slaa.