wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
Mziki ni mfumo ambao unapopangiliwa vizuri basi huwa na dhamira mbalimbali lakini maudhui ambayo huwafikia watu kwa urahisi ni burudani na kuelimisha, na kila msanii huwa ana style yake ya kuwasilisha mziki wake kwa hadhira ili upate kuwafikia kwa urahisi.
Na kuhusu hilo, Suma G, alifanikiwa kiasi fulani hasa kwa ngoma zake nzuri zenye kuburudisha na kufundisha kama si sana basi angalau utakutana na mashairi mawili matatu yenye ujumbe ndani yake, ingawa mziki wake uligusa hasa mwananchi wa kawaida, ila kiasi fulani hata wale ambao si wa tabaka la chini!
Ila Mimi huwa nahuzunika pindi vipaji kama hivi vinapotea halafu hakuna jinsi ya kuvirudisha ilihali mziki kwa sasa umekua kama biashara na vijana wengi nowdays wanatoka kimaisha kupitia humo!
Jamani mwenye uelewa atujuzee wapii alipo Suma G na Uswahili Matola yake yenye vichekesho na fundisho pia! ""Pombe umeizidishaa ilizanii chaiii""""