Suluhu ya Kadi yapatikana; M4C kuzichoma kadi zote za CCM kitaifa.

UNAKAA NA KADI YA uvT YA NN WAKATI UMRI WAKO USHAVUKA? GREAT THINKERS!! YOU GUYS WHAT ARE YOU DISCUSSING HERE? LEAVE THEM ALONE PROPAGATE POSITIVE ISSUES.
You guy! Unataka kuniambia ukipata cheti cha form 6 unatakiwa uchome kile cha form 4. Lol Tz ni moja ya maajabu 7.
 
"R.I.P Chama Cha Magamba.... CCM 1977-2015, Bwana alitoa, Bwana atatwaa." I like your signature.


Naunga mkono hoja mia kwa mia....

Iitwe siku ya uchomaji kadi za CCM na ikiwezakana kuwe na kontena na mabango na countdown kuelekea hiyo siku. Kadi kitu gani bana mbona Kinana ana kadi ya CCM lakini anatuulia Tembo wetu
 
Naunga mkono hoja. Hakuna haja ya kuweka kumbukumu ya kadi ya magamba.

Kuzichoma kabisa kadi ndio suluhu ibakie tu historia
 
Habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la KIGAMBONI katika kukusanya maoni yao juu ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la KADI .

Ambayo wengi wamesema Ili kudhihirisha CCM hatuipendi ni lazima kadi zote zilizokusanywa na Wanamapambano zitafutiwe SIKU maalumu ya kitaifa ya KUZICHOMA moto kadi zote za CCM na Vyama Vingine na harakati hiyo iongozwe na DR.SLAA pamoja na KADI yake mbele ya UMMA wa Watanzania wote ili iwe Historia ya leo na Kizazi kijacho.

safi sana hapo tutakata mzizi wafitina au hiyo siku ya kuchoma iitwe operesheni choma ukwatu wa magamba na kucha zao!
 
You guy! Unataka kuniambia ukipata cheti cha form 6 unatakiwa uchome kile cha form 4. Lol Tz ni moja ya maajabu 7.........

You Lady! unataka kuniambia kuwa CHADEMA ni muendelezo wa CCM? vyeti vya shule havitolewi majukwaani kama kadi za vyama. be a great thinker please. sorry for that.

Ukimaliza chekechea unaanza drs la kwanza hadi la 7 unafanya mtihani, ukichaguliwa unaingia form 1 hadi form 4 unafanya mtiahan ukichaguliwa unaingia form 5 na kumaliza 6. usipoufaulu mtihani husika hutapata cheti. cheti sio kadi.
 
Kuchoma kadi nyingi namna ile mbele ya umma/ hadharani, ni hatari kwa afya ya mazingira na hii tutakuwa tunaongeza mwendo wa mabadiliko ya tabia nchi.


Wewe mwanzisha uzi unashauri nini kifanyike kudhibiti mtumizi mabaya ya rasilimali za nchi yetu na ufichaji wa pesa za wizi katika mabenki ya nchi za nje na baadhi za hapa nchini!?
 
hakuna kiingereza kibaya ivo duniani wewe.. eti what is the big ha ha haaaaaaa,shule gani hiyo mkuu? big,bigger, bigest/the biggest.usituaibishe

english teacher..mi mtanzania bana,..ungenipongeza kwa kujaribu lugha ya watu kidogo..it's no big deal anyways gamba we
 
Back
Top Bottom