Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Kwa wanandoa ni vzr sana kuww na cd za kamasutra love makers kuna masomo masuri sana na pia kuangalia tu mnapata mizuka balaa pamoja na kuangalia mara kwa mara softcore movies huamsha hisia pale zilipozembea kutokana na kuzoeana kunakolemaza
Mbaya sana hii,ukishakuwa addicted hutaweza kusex bila kuangalia hizo softcore na kamasutra
 
Mwanaume tuache kabisa kutumia madawa kwa ajili ya kufanya sex.,kupunguze ulevi.,kula mafuta na sukari.,Tuache kabisa kutumia energizer yoyote ile Redbull,na nyinginezo.,zinatumaliza..,Tufanye mazoezi sana asb na jion.,tupende kupumzisha miili.,tupunguze stress..,Utajikuta unapiga game mpk unajishangaa...
 
Energer zote ni mbaya.

CD za pilao nazo mbaya.

Mazoezi kidogo,wacha Bia na vitambi mninginio ,maana kitambi kikikua mission inakuwa impossible.

Wanawake wanapenda Six Pack!
 
1472124250963.jpg
 
Ni nini kinanifanya nikiwa na mwenzangu, yaani nikitumbukiza tu imooo!
Au nikipiga ingiza toa mara mbili biashara inakuwa imeisha?

Na mwenzangu anakuwa bado kabisa anasema namtia shombo!

Wenye ushauri wa kuniokoa, nitashukuru
 
fanya mazoezi itakusaidia pia tumia style ambayo yeye akae juu na wewe chini yaani akalie itakusaidia kujicontrol na kumuwezesha shemeji kujipimia mwenyewe huku ukiendelea na mazoezi ya kukufanya uwe fit
 
Kuna mkaka alikua nansumbuliwa na hilo! Alichokua anafanya yeye hachomoi anaendelea hadi tatu.
 
Yoote yaliyoelezwa ni ya msingi sana lakini kwa kukazia tuu, swala la mazoezi ni muhimu zaidi pengine kuliko yote hapo.

Siku hizi vijana wamekuwa wavivu sana kufanya mazoezi ndio maana mikiki mikiki kadhaa tuu mtu limi nje kama jibwa.
Alafu fasta unakimbilia kumtafuta mzizimkavu akuelekeze dawa za kuongeza nguvu na kunenepesha uume.
HAHAHAHAAAAAA UMENENA HAPO
 
Hili ni tatizo la muda tu na linatokea kwa baadhi ya watu.

Cha msingi kula vyakula asili kama dona, samaki, maziwa nk.
Achana na lishe duni kama vijichips, mikate nk.

Zaidi punguza msongo wa mawazo na ishi bila hofu. Kumbuka ubongo ndio unao control system nzima ya mwili.
 
kwa nini unajiita MESSI hivi umefikiria nini
unajua nimeshindwa kujiita Messi kutokana naona dunia itanihukumu ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom