Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Ondoa stress mkuu.Fanya mazoezi, pumzika, lala masaa angalau nane kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah mukuu unaobekana haya mambo umeyasomea
 
Mi nafahamu mke alimuacha mme wake kwa sabb ya kuwahi kufika kileleni mapema! Alianza kulalamika akipanda tu anakojoa chwaaa haraka ka jogoooo...ye alipenda kusuguliwa kwa muda mrefuuuuu..style zote
 
Aisee kilichonikuta jana sikuwai kukutana nacho kabisaaa...... kuna demu nimemgonga Goli la kwanza na Kondom nataka kupiga la pili nikivaa Kondom tu mboo inalala nikivua inasimama nikivaa inalala nikivua inasimama nimemaliza pakiti 2 za kondo wapi sasa sijajua tatizo lilikua ni nini....??? Wakuu msaada wenu
 
sasa na wale wanaowahi je
 
Wakuu naombeni ushauri!!! Nina miaka 28 na nilianza kuangalia pornography nikiwa form two japo niliangalia mara moja ...kwenye saloon ya rafiki yangu miaka kama kumi iliyopita. Kufika form six...shule flani hivi kila mwanafunz akawa na simu kipindi hicho fb ndo deal .. Basi niliangalia sana porn kwa miaka miwili. Kufika chuo... Nikawa addicted!!!!! Nikaangalia porn saaana kiasi kwamba hata hamu ya ngono ikakata !!!!! Baadae nastuka .... Nikapata mbunye flan hivi....kufika ghetto ....jambo lisilo la kawaida likatokea.... Mwili ulishuka joto hadi baridi ikaanza kunipata nikashindwa hata kudindisha!!!! ...baadae tena nikapata mbunye nyingine...kuenda bao moja ...basi sikurudia tena ..hela ikaliwa bure...na nikapoteza muda bure. Nikatafuta dawa za masai ...dawa flan hivi unakoroga kwenye chai unakunywa...ikabaki kuwa bao moja tu. Na mgongo unauma ...sipati hata raha sipati...nikabadili mmasai ....yaleyale..!!! Nikakata tamaa ya mapenzi na ukumbuke tangu la kwanza hadi form siksi sikuwahi kuwa na demu niliogopa sana UKIMWI nikamezwa na pornography!!!!!!!!!!!! Nakumbuka dem flan tuko form 3 aliwah hata kudiriki kumwambia rafiki yangu nimkubalie ila nilikataaa!! Sasa nimemaliza chuo nina mchumba nataka kuoa ila naona hatari kubwa na aibu inaninyemelea kwa kuwa na upungufu wa nguvu za kiume...najuta ila ....kwa sasa tangu mwezi wa saba porn nimeacha hata kuangalia na sijatest kuona kama nguvu jata angalau za kumridhisha dem kama nnazo.mchumba wangu ananipenda ila sidhani kama anaweza vumilia suala la kuridhishwa kimapenzi tukioana. Nimechoka maisha ya kibachela ila "nguvu za kiume " ndo zinaniweka matatani kutooa kwa wakati na kwa kweli inaniuma sana sana Sana sana kutokuwa na uwezo huo. Naombeni ushauri maoni na nasaha pamoja na tiba jamani...yamenikuta haya ...!!!!!! MUNGU NISAMEHE MADHAMBI YANGU YOTE ..NATUBU KWAKO.AMEEN!!!
 
Kaka umeongea point sana,kwenye inshu ya mazoez me 1 kati ya ao wanao fanya sana mazoez na mawanzo nilikuawa naamini ivyo kuwa ukifanya sana mazoez kwenye 6×6 unakuwa fit badala yake nikifanya sana mazoez hata hamu ya ilo tendo uwa sina kabsaaa na ata ikitokea siku nimejiskia kufanya ilo tendo bdo nakuwa niko kawaida 2 na ambavyo uwa nakuwa hata kma sikufanya mazoez,alafu kuna hii kitu inaitwa msonobari unaifaham kaka.
 
Kweli mkuu....hata mie nafanya mazoezi nakula vizuri lishe na matunda kila siku lakini round moja asumani lazima azime....sio kama zile enzi za under 35yrs old.....naenda round 3 ndo napumzika...yaani hili linaitaji mjadawa wa kitaifa......hehe.....
 
Ukiwa kwe 6*6 ukiwa unakaribia kumaliza round one tulia mpaka ile hali iishe afu endelea na ligi na uwe unafanya hivo hivo mpaka utakaposhindwa kuvumilia
 
Uninstall that driver
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…