Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Joined
Oct 23, 2017
Messages
38
Points
125
Joined Oct 23, 2017
38 125
mimi ni mvulana miaka 17 ninaombeni msaada wenu kwasababu nilikuwa nafanya masturbation bila kujua madhara take sasa naona kama kuna mabadiliko katika mwili wangu uume umelegeea na mawazo mengi samahanini sana ninaombeni msaada wenu
Vp tunasubili your respond,where r u?
Au ile unazama tu haaaaaaruuuufuuuuu
Inaumiza sana, nimeenda tialaei siku moja nikaambiwa nadaiwa kodi kuanzia 2015 kwasababu nilifunga biashara na sikutoa taarifa. Ni kweli nilivopigiwa hesabu ikawa hela ni nyingi sana.

Nikawa namwambia huyo dada ambaye almost she is my age mate anisaidie kwasababu sijaoperate toka huo mda.

Bila aibu, Dada aliniambia kama nataka tukaongelee nje lakini nitatoa nusu ya hiyo hela ambayo haitaandikwa ila deni litafutwa.

Nilikasirika sana moyoni ila sikumuonyesha. Niwaza sana, mbona hawa ni miungu watu hivi. Mtu anaomba rushwa hadharani tena mchana kweupe na hanijui mi ni nani?

Haikupita muda wakatangaza msamaha wa kodi kwa wale waliolimbikiza. Ikawa pona yangu. Ila nikikuwa nimepanga kumfanyia kitu kibaya kwa njia yeyote ili afute hilo deni huku hasara ikiwa upande wake. Pumbafu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
824
Points
1,000

Aiba

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
824 1,000
Kegeli exercises ndio zipi?
Ingia YouTube andika kegel exercise itakuletea na jinsi ya kuyafanya ni mazuri sana ukiwa unafanya na unaweza fanya sehemu yoyote oficni nyumbani ata ukiwa umekaa na watu unafanya na yanaimarisha sana misuli ya mboo ukifanya wiki bila kugonga wallah utaona tofauti yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Messages
3,620
Points
1,225

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2008
3,620 1,225
Salaam sana Wakuu

Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wengi wetu.

Ndipo kwenye tafakari yangu nikaona NIANZISHE HUU UZI kwa machache tu kwa ufahamu mchache nilio nao, Ili NIWAALIKE wengi WENU kwa msaada zaidi wa mawazo kwa ndugu zetu wanaokutana na mfadhaiko huu. Nikiamini pia wengi wenu mna utaalamu na mnaoweza kuchambua haya makitu kwa ufanisi zaidi mkatatusaidia sana kwenye uzi huu. Yafaa sasa tujikite kwenye ufumbuzi kuliko kuripoti tatizo na kulaumu. Kadiri tunavyoendekeza kuripoti tatizo tunawaathiri hata wale waliokuwa wazima ambao kwa kuwa hakuna kipimo sawia kujua kipi ni kipi, nao wasiwasi unawafanya wanapoteza ujasiri wao na kujiona wana tatizo kumbe wapo imara sana kuliko mkuki.

Kwa kuanzia yafuatayo yaweza kusaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi.

Kuuweka Mwili vizuri: Ni wazi kuwa tendo hili linachagiwa sana na mzunguko mzuri wa damu. Mwili ukiwa kwenye hali nzuri kiafya na tendo huwa linaenda ipasavyo. Na mwili ukiwa dhoofu basi tegemea tukio dhoofu pia. Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki.

Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo. Kwa wanaume walio wengi, baada ya mshindo wa kwanza hupumzika kidogo kabla ya kuendelea na awamu nyingine. Japo kuna ambao wana uwezo wa kuendelea moja kwa moja bila kupumzika (law ya use and misuse inahusika kwa wengine apa). Kwa hio kusinyaa kwa uume baada ya mshindo wa kwanza, isifahamike kuwa ni upungufu wa nguvu bali ni ajdustiment ya mwili wenyewe kutokana na kwamba mwanaume kabla ya tendo mapigo ya moyo huongezeka na huchangia damu kwenda kwa kasi, na kwa hali hio anakua yupo juu sana kimhemko, inapofikia anamaliza raundi ya kwanza mwili unakua
unapoa /umesharudi kwenye hali yake ya kawaida, ndiko kunakosababisha hio maneno kusinyaa kwa wengi wakati mapigo ya moyo yanaporudi kawaida (MWILI KUPOA).

Maandalizi ya mwili. Wanaume tupo tayari muda wote… ila linapokua swala ya mwenza wako (kwa kuwa muda unaotumia kwa maandalizi na tendo una uhusiano wa moja kwa moja na satisfaction ya mwenzio)… unahitaji muda angalao nusu saa na kuzidi kujiandaa na mwenzi wako. Kama timu ya mpira inapoenda ugenini huhitaji muda kuzoea mazingira, ndio na mwanaume anavyohitaji muda kuzoea mazingira ya ugenini. Hili linakusaidia sana mwanaume kutoka kwenye mihemko na kurudi kwenye hali yako ya kawaida ambayo itakusaidia kuwa na muda mzuri zaidi wa kufurahia tendo. Jitahidi pia kuvuta pumzi nyingi ndani na uiachie polepole kukusaidia kukuweka kwenye utulivu mzuri.


Timing ya kuanza tendo: Kwa kuwa tendo linahusisha sana hisia za mwili, ukiwa umetumia muda unaotosha kuandaana, basi usiwe na papara mwanzoni, bali uwe na utulivu, pia jitahidi kuzungumza moja mawili wakati unaanza kuzoea mazingira mengine (core business) EPUKA UHARAKA na kuweka sana akili yako hapo, jinafikie mwenyewe kuwa its just a normal thing (mental pride)

Concetration/ Umakini uliopitiliza… Unapaswa kumfanya mkeo aweke akili yake yote hapo, na wewe unatakiwa katika kumuweka mkeo kwenye concentration uuharibu umakini wako (level of concentration). Ukiweka concentration ya juu sana kwenye tendo… haikuchukui dakika mbili umemaliza, na kuirudisha tena ile hali ya concentration uliokua nayo mwanzo itakuwia ngumu sana….. Usiweke sana akili yako hapo kama unataka kufurahia kwa muda zaidi. ila kama hutaki kudumu.. weka akili na umahini wako hapo woote.. just seconds or a minute you are done

MAZOEZI ya mwili ni muhimu sana sana sana sana sana kwetu wanaume. Kama huna muda wa kwenda jimu walau ukiamka piga ‘PUSH-UPS walau 50'' kila siku na ''SQUARTS'' . haya ni mazoezi mepesi lakini ni BORA zaidi kwa mwanaume. Kwetu sisi wanaume tunatumia sana misuli yetu wakati huu, kwa hio kuna ulazima wa kutafuta ustahimilivu wa misuli ''mussle strength n perseverance''. Hio kitu ni starehe na unatakiwa baada ya tendo uwe umekuwa refreshed na sio uwe unaumwa kila mahali na sijui joints zinauma sijui nini nini? ukijiona unakuwa hivyo baada ya tendo ujue mwili wako haujakaa fiti ipasavyo kimazoezi/kiafya

Pia Afya ya Akili inahusika sana, Japo inahitaji jitihada makhususi... lakini kila mtu ana uwezo wa kuchagua nini cha kufikiria na nini si cha fikiria(kupuuzia) na pia akienda hatua zaidi anaweza kupuuza kila kitu kwa wakati fulani kama unajua una huo uwezo na ukaamua kuutumia. Pia kuchagua kufikiri yale yaliopo kwenye uwezo na urefu wa kamba yako pekee; vitu usivyo na uwezo navyo utajisumbua tu bure na kujipa stress zaidi. Weka nguvu na jitihada zako kwenye kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako, jifunze na acha kufikiria matatizo kwa maana hakubadilishi kitu na yataendelea kuwa hivyo n.k n.k................ Ukiwa na namna nzuri ya kuyachanganua mambo yako utasaidika sana kwenye afya ya akili yako na kuwa vizuri zaidi

Karibuni wadau kusaidia utatuzi wa hili jinamizi linalojizolea umaarufu kadiri siku zinavyokwenda kwenye jamii yetu.

Copy kwa msaada zaidi wa mawazo na uzoefu... BAK, watu8, utafiti, Mndengereko, Mr Rocky, Ntuzu, kabanga, OLESAIDIMU, Matola, Mtoto halali na hela, Excel, The Boss, Mtambuzi, sungura1980, Mentor, kiwatengu, Annael, Candid Scope, Kaizer, mwekundu, KakaKiiza, Freeland, Mapi, Sibonike, muuza ubuyu, Eli79, mzabzab, CYBERTEQ, na wengine wote ambao sijaweza kuwataja apa

Tz

Thanks Bro watu8everlenk, Asante sana kwa coment yako yenye msaada sana. Umeongea kitu cha msingi sana..Thanks; You have nailed it.
Kila asomaye na afahamu!!!!


Brother Mtambuzi anatupa utambuzi wake apa:-


Dr Asprin, Zogwale, EMT, Tuko, Molembe, Jodoki Kalimilo, tpaul, na dada yangu Karucee, King'asti, Jawilat, Chujio KOKUTONA, First Lady, Kaunga, Ablessed, amu, black woman, Khantwe, Preta na wengineo wooote popote mlipo hekima zenu zinahitajita tafadhali

Mkuu BAK nimecheka sana aisee.. ila umeongezea kitu cha msingi sana Mkuu. Thanks


Mkuu Freeland anasema:-


Mkuu 1st AID anachambua kiutalamu khs wale wanaume wanaotumika sana:-


Kumbe kuwahi nako ni dili wakati mwingine!! kuchelewa nayo ni sheeedaaaa!!! Msome Mkuu EMT apa


Tunakushukuru tena Mkuu EMT kwa vitu vya maana sana kaka. Many thanks


Je mtu akifanya mara nyingi sana kuna madhara yeyote? Mkuu 1st AID anajibu


Thanks ICHANA, umetukumbusha vitu mihimu sana pia kuhusu kujikubali, kujali wakati na ahadi, Kuwa na shukrani n.k,Mkuu Zogwale tunakushukuru kwa mchango wako makini, hakika umeshekheni!!!


Mtaalamu wa tiba asilia Mkuu MziziMkavu anatupa vitu vipya hapa:-


Anazidi kukazia ndugu MziziMkavu


Mkuu mwakabhuta anafafanua zaidi kuhusu vitambi na virutubisho.


Hivi kuchelewa kufika kileleni kwa mwanaume kunaweza kuchangia kutopata mtoto.

Dr EMT anasema (Dr. - PhD ya heshima kutoka kwa Tz)


Je? Kupiga masturbution {punyeto}kunaweza kusababisha kuishiwa nguvu za kiume?
EMT anasema;-


Kwa walioathirika na PUNYETO /MASTERBATION.... Mtaalamu wetu MziziMkavu anatoa hekima zake kwa namna kuacha hilo tatizo.
Shukrani sana Kaka Mkubwa.Tunakushukuru sana Mkuu giyamo kwa mchango wako, Ukiwa na details na michango zaidi, Tutashukuru kukusikia tena. asante
Sex is mindset. Kama ni mke na mume make sure mko in good terms mnaandaana vizuri. Kama ni michepuko jitahidi siku inayoenda kuchepuka umwandae kisaikolojia siyo ilimradi tu.

Kula vizuri, mazoezi ni matokeo ya kuwaza vizuri..
 
Joined
Aug 3, 2018
Messages
9
Points
20
Joined Aug 3, 2018
9 20
Kuna jamaa wangu alikuja kuniomba ushauri ktk hili , lakini yy tatzo lake nliliona kama kubwa kidogo nkajikuta mm mwenyew nashndwa kumshaur, ni ivi, , , , , yy alikuwa na manzi kwa room akamuandaa flesh takrbani kama dk 7, mpaka akajirdhsha kuwa ni wakt mahalum wa kumkung'uta #lakini alivo ingiza tu ikazama shuguli yake ikaishia apo((akakojoa)) , je tatzo ni nn apo?? Na afanyeje ????
 

mkorosho

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Messages
554
Points
1,000

mkorosho

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2016
554 1,000
Timing ya kuanza tendo: Kwa kuwa tendo linahusisha sana hisia za mwili, ukiwa umetumia muda unaotosha kuandaana, basi usiwe na papara mwanzoni, bali uwe na utulivu, pia jitahidi kuzungumza moja mawili wakati unaanza kuzoea mazingira mengine (core business) EPUKA UHARAKA na kuweka sana akili yako hapo, jinafikie mwenyewe kuwa its just a normal thing (mental pride)
very truee.......hapa ukizingua unaweza malizia nje kabisa
 

mkorosho

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Messages
554
Points
1,000

mkorosho

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2016
554 1,000
Kuna jamaa wangu alikuja kuniomba ushauri ktk hili , lakini yy tatzo lake nliliona kama kubwa kidogo nkajikuta mm mwenyew nashndwa kumshaur, ni ivi, , , , , yy alikuwa na manzi kwa room akamuandaa flesh takrbani kama dk 7, mpaka akajirdhsha kuwa ni wakt mahalum wa kumkung'uta #lakini alivo ingiza tu ikazama shuguli yake ikaishia apo((akakojoa)) , je tatzo ni nn apo?? Na afanyeje ????
rudia kusoma tena uzi ...majibu yapo, pitia tena taratbu kwa maana ya kuifunza
 
Joined
Sep 25, 2018
Messages
56
Points
150
Joined Sep 25, 2018
56 150
chakula bora, mazoezi, kupumzika, na kuepuka kutumika ovyo, usafi wa mwanamke, mvuto kwenye mapenzi na ujuvi wa mambo! unaweza kuwa na stamina zako lakini mwanyewe akawa hana mvuto na hatii hamasa! wengine huwa tunasimamia show mpaka unaamua kuacha tu! Vijana wa sku hizi wanapita kumwagamwaga mbegu zao kila sehem mwisho nguvu kwishnei, hata manii zinakuwa nyepesi kama maji!
kabisa
 

leodigardcyrilo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Messages
3,187
Points
2,000

leodigardcyrilo

JF-Expert Member
Joined May 17, 2015
3,187 2,000
Hayo yote wanaosema nguvu hata ufanye mazoezi vipi shida iliyopo ni chakula mengine mtawaotesha watu vigimbi kabla ya kwenda kulamba lolo kula dona lako na samaki shushia maji Safi au nunua supu chapati sita kale mzigo ndo utajua kama una nguvu au auna we unashindia muhindi wa kuchoma na pilipili Kisha unaenda kula mzigo hapo utazunguka hospital zote bila majibu
 

Forum statistics

Threads 1,380,699
Members 525,851
Posts 33,776,938
Top