Suluhisho la kupunguza uzito na kitambi

Suluhisho la kupunguza uzito na kitambi

Tunataka kupunguza unene lakini inabidi utueleze vizuri tusije tukatumia dawa ambazo zikatuletea matatizo mengine
 
habarini..hizi dawa zinatengenezwa na kampuni inaitwa king biotech holding group ltd ipo marekan, china, Singapore na japan.
wanatengeneza dawa kwa mimea asilia kabisa na hazina madhara kwa binadamu. ipo kweny operation kwa zaidi ya miaka 10 na mwaka 2013 ilifungua branch yake Tanzania.
 
hii ni slimming tea ina teabags 40 kazi yake ni kupunguza tumbo na manyama uzembee
 

Attachments

  • 1431975374364.jpg
    1431975374364.jpg
    40.3 KB · Views: 321
hii pia ni chai ina teabags 40 vile vile kazi yake ni kutibu wanaume wanaosumbuliwa na kupungukiwa nguvu za kiume, kushindwa kuhimili tendo la ndoa, mbegu kuvuja na kuwahi kufika kilelen
 

Attachments

  • 1431975509012.jpg
    1431975509012.jpg
    69.3 KB · Views: 287
hii dawa inatibu constipation, kukosa choo kwa mda mrefu na choo kigumu. ni capsules
 

Attachments

  • 1431975711401.jpg
    1431975711401.jpg
    83.2 KB · Views: 281
hii ni chai ina 40 teabags pia. inatibu wanawake wanaosumbuliw na maumivu wakati wa hedhi, kukosa au mvurugiko wa hedhi
 

Attachments

  • 1431975786889.jpg
    1431975786889.jpg
    66.9 KB · Views: 268
hiz ni capsul zimatumika kupinguza mwili, manyama uzembe na kitambi cha bia. pia ukitumia pamoja na slimming tea kwa wale wenyeuzito mkubwa kupungua ni lazma
 

Attachments

  • 1431975889253.jpg
    1431975889253.jpg
    109 KB · Views: 283
sabun hii ni kwa wale wenyechunisi chronic, vipele, harara
 

Attachments

  • 1431975971026.jpg
    1431975971026.jpg
    32 KB · Views: 275
wanawake waliofikia menopause wenye endocrine disturbance. pia wale wenye hypertension, forgetfulness na wale wanaokunywa sana pombe na kuvuta sigara.
 

Attachments

  • 1432012455520.jpg
    1432012455520.jpg
    22.6 KB · Views: 181
Usikubali unene ukutese.. Kitambi kikushinde maarifa. Pata tiba hapa 100%moneybackguarantee kama usipo pungua
 
Mkubwa hayo madawa ni sawa, ila ni hakikishie Usalama wa figo na ini la mtumiaji!!
 
hizi dawa ni pure organic zimetengenezwa kwa herbs maalumu hazija ongezwa chemicals kwa maelezo zaidi ni pm
 
mimi_ hayo majani ndo yale ukishayatumia lazima uweke kiti pembeni mwa mlango wa choo na uwe na maji mengi?
Maana ni kuharisha tuu
 
Last edited by a moderator:
hakuna kibamia wala mtarimbo. kama unasema ni kibamia basi ujue K ni kubwa. ukisema ni mtarimbo basi umekutana na K mnato, ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom