Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,479
- 7,437
Tunakujua vizuri jinsi ulivyo mnafikiUmepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.
Tunakujua vizuri jinsi ulivyo mnafiki
Unajulikana kuwa una chuki kubwa dhidi ya hayati JPMNi kweli kabisa sukuma gang.
Unajulikana kuwa una chuki kubwa dhidi ya hayati JPM
Ahaaa. Najua una machungu ya kupigwa 2020 huku ukiwa umetumia pesa mingiNitashangaa kama hamjui kuwa nina chuki kubwa na dhalimu, na jizi kubwa la kura kupata kutokea.
Ahaaa. Najua una machungu ya kupigwa 2020 huku ukiwa umetumia pesa mingi
Ulipoteza pesa mingi pole. Lakini sio sababu ya chuki.Ni kweli kabisa, kama kulikuwa na uchaguzi hiyo 2020.
Ulipoteza pesa mingi pole. Lakini sio sababu ya chuki.
Politiko fanatiki Unachekesha sana,Huwa Sipotezi Adenosine Triphosphate(ATP) kwa kujadiliana/kulumbana na Politiko fanatiki.Umepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.
Hiyo utajua ww.Politiko fanatiki Unachekesha sana,Huwa Sipotezi Adenosine Triphosphate(ATP) kwa kujadiliana/kulumbana na Politiko fanatiki.
Majority ya pro maghufuri walikuwa watu wa Kanda ya ziwa,mwanza,shinyanga,tabora,katavi,sukuma na nyamwezi,Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Eti alikusanya kwa faida ya Watanzania!!Hayati Magifuli alikusanya pesa za umma kwa manufaa ya watanzania. Alikusanya kodi, faini na kila mapato ya serikali na kuyatunza mfuko mkuu wa serikali. Mafisadi na wapigaji wakashindwa kuzipiga pesa za umma maana zote zilimulikwa na kuwekewa kufuli.
Rais Samia kwa nini asiendeleze ya hayati. Kukusanya na kutumia vyema mapato. Haya mapungufu ya mapato yanatoka wapi mpaka tozo za kila namna zinazalishwa?
Watanzania wapo kimya ila wanajua namna wanavyopigwa nondo na vyuma vizito.
Unahangaika kufungua threads ili ku undermine performance ya serikali ya Samia lakini wala hupati wachangiaji wa kutosha. Hizi ni pumba tu kutoka sukuma hangWadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.