Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

Jana nimepita Nakumatt na Game sukari hakuna. Nikaipata Mwenge kwa sh. 2700. Imagine! Sukari imekuwa bidhaa adimu.
 
Tunasubiri bei elekezi ianze kutekelezwa, ile ya kugawa bure, na noa zao pia wasisahau
 
Wewe ni mujinga sugu umezoea kudanganya wapumbavu wenzio wa lumumba ksh 5600 unajua thamani yake au unaropoka tu,ficha ujinga wako sio kila kitu kujifanya unajua ksh 5600 ni zaidi ya laki moja ya tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mburura wa Kichina, soma vizuri, hakuna alipoandika ksh5600 unapaswa kumuuliza kwanza kama hiyo ksh, au kaishaichange to Tsh.
 
Kwani chagadema watakuelewa basi, maana elimu ndio hiyo ya kelele na kupinga! TARIME wanaanda kiwanda pia cha sukari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia huko Kenya usipimwe mikojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Acha ifike laki 1, kwa mmeombwa mnywe chai?. Mmemchagua wenyewe ta ta n..
 
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Hii ndio tanzania ya viwonder
 
Usilibganishe uchumi WA Kenya na hapa kwetu.
 
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
wale watengeza mchele wa plastiki hawajugundua sukari ya plastiki tu?
 
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Umeonaaa kumtaja lissu kutapunguza beiyasukari
Nilitarajia unatoa soln kama wenzio wako kumya unaishia kutaja wanasiasa suburi sindano ikuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…