Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,905
- 18,872
Ni jambo jema. Sukari ni hatari kwa afya.
Hata hivo hauta ishi mileleNi jambo jema. Sukari ni hatari kwa afya.
Kwamba sukari haijapanda mkuu?Huu upuuzi huu



Hamia kilombero bei ni 1500 kwa kiloLeo nimenunua kilo 5 za sukari kila kilo ni 5600tsh hapa Mbezi mwisho.
Hii inaweza kuwa Dar je huko uliko wewe sukari inauzwa bei gani .
USSR
Bgm 4800Tunduma 2900/