Sukari: Dr. Ackson Tulia (Naibu Spika), upongezwe?

Leo asubuhi,Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ( CCM) alitoa hoja ya haja ya dharura kulitaka Bunge kujadili uhaba wa sukari nchini. Bashe alitoa mfano wa bei ya sukari kwasasa,kuthibitisha uhaba uliopo kwa sasa,kuwa kilo moja inauzwa kati ya 3000 na 4000.

Pamoja na kupata uungwaji mkono utakiwayo,kwa Wabunge wenzake kusimama,Kiti cha Spika chini ya Dr. Tulia kiliizima hoja hiyo ya Bashe. Naibu Spika Dr. Tulia alisema kuwa hakuna haja kuwepo mjadala wa uhaba wa sukari nchini kwa kuwa Waziri Mkuu Majaliwa alishatoa taarifa ya serikali.

Waziri Mkuu Majaliwa alisema kuwa Serikali ina nia ya kutoa vibali vya kuagiza sukari. Naibu Spika yuko sawa kuizima hoja ya Bashe?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Bila bunge kurushwa live, hoja kama hiyo haina maana. Dharura ya sasa ni ya bunge kuendeshwa kwa siri.
 
Leo asubuhi,Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ( CCM) alitoa hoja ya haja ya dharura kulitaka Bunge kujadili uhaba wa sukari nchini. Bashe alitoa mfano wa bei ya sukari kwasasa,kuthibitisha uhaba uliopo kwa sasa,kuwa kilo moja inauzwa kati ya 3000 na 4000.

Pamoja na kupata uungwaji mkono utakiwayo,kwa Wabunge wenzake kusimama,Kiti cha Spika chini ya Dr. Tulia kiliizima hoja hiyo ya Bashe. Naibu Spika Dr. Tulia alisema kuwa hakuna haja kuwepo mjadala wa uhaba wa sukari nchini kwa kuwa Waziri Mkuu Majaliwa alishatoa taarifa ya serikali.

Waziri Mkuu Majaliwa alisema kuwa Serikali ina nia ya kutoa vibali vya kuagiza sukari. Naibu Spika yuko sawa kuizima hoja ya Bashe?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)

Mbona amekitendea haki kiti cha uspika, sasa leo mwasheria kesho mbunge kesho kutwa naibu spika bila kupingwa, kwa jinsi alivyokipata hicho cheo atakuwa ametenda haki kwa walio mtuma
 
Huyu Mdada yuko pale kuitetea serikali
 
Labda huyo anafaidika na ongezeko la bei ya sukari!
 
Nchi ya kusadikika hii...sukari ndio inawafanya watu watoke povu. ..mambo makubwa makubwa anayofanya JPM hamyaoni. ..

Mabadiliko mliyoyataka ndio haya anafufua viwanda vya sukari. ..Tulieni JPM afanye kazi.
 
Nampongeza sana dk tulia, kuna mambo mengi sana yakujadiliwa, istoshe waziri mkuu keshalitolea ufafanuzi, chicho kiti kakitendea haki kweli kweli
Ndo wale wale ngoja tusubiri utumbuliwe tuone kama utaendelea kushabikia
 
Leo asubuhi,Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ( CCM) alitoa hoja ya haja ya dharura kulitaka Bunge kujadili uhaba wa sukari nchini. Bashe alitoa mfano wa bei ya sukari kwasasa,kuthibitisha uhaba uliopo kwa sasa,kuwa kilo moja inauzwa kati ya 3000 na 4000.

Pamoja na kupata uungwaji mkono utakiwayo,kwa Wabunge wenzake kusimama,Kiti cha Spika chini ya Dr. Tulia kiliizima hoja hiyo ya Bashe. Naibu Spika Dr. Tulia alisema kuwa hakuna haja kuwepo mjadala wa uhaba wa sukari nchini kwa kuwa Waziri Mkuu Majaliwa alishatoa taarifa ya serikali.

Waziri Mkuu Majaliwa alisema kuwa Serikali ina nia ya kutoa vibali vya kuagiza sukari. Naibu Spika yuko sawa kuizima hoja ya Bashe?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Tulia, Tulia, Tulia
 
Nawashangaa sana wabunge mpaka leo bado hawajamuweka kwenye TANURU la kutokuwa na imani naye..............
 
Nampongeza sana dk tulia, kuna mambo mengi sana yakujadiliwa, istoshe waziri mkuu keshalitolea ufafanuzi, chicho kiti kakitendea haki kweli kweli
Kabisa wabunge wanapenda potyeza muda bure na kutaka sifa zisizo stahili sasa alitaka sema nini zaidi ya aliyosema Waziri Mkuu?
 
MKUU, pamoja na mapungufu ya Adolf Hitler lakini utawala wake wa mkono wa chuma aliweza kufufua uchumi wa Ujerumani, kuiendeleza kisayansi na kiteknolojia hakuna Taifa lolote Duniani walikuwa zaidi Ujerumani kata nyanja mbili tajwa hapo juu.

Kosa kubwa alilofanya ni kuanzisha vita hasa hasa operation Barbarosa ilimtia hasara kubwa na kuvuruga kabisa Uchumi wa Ujerumani na miundombinu yake yote, askali na raia wengi kupoteza maisha, kama Hitler hasingeanzisha vita Ujerumani ingekuwa mbali sana kimaendeleo, sayansi na teknolojia kuliko Marekani.
Heshima kwako mkuu nakubaliana nawe, ila concern yangu ni jinsi alivyoibuka na sera za anti semitic, na kuwa dikteta kama asingekuwa dikteta chances za kuanzisha vita ingekuwa ni ndogo. Kumbuka alikuwa anajinasibu kuwa Aryan race (ya wajerumani) ndiyo bora. Nachoogopa similarly ya madikteta zinalandana, na dalili ziko wazi, tuna haja ya kusubiri hadi aote mapembe?
 
Nawashangaa sana wabunge mpaka leo bado hawajamuweka kwenye TANURU la kutokuwa na imani naye..............
Tatizo ni je wabunge wote wana moyo huo ? ( ujasiri )
 
Kabisa wabunge wanapenda potyeza muda bure na kutaka sifa zisizo stahili sasa alitaka sema nini zaidi ya aliyosema Waziri Mkuu?
Mawazo yako ni sawa na bumunda
 
Nchi ya kusadikika hii...sukari ndio inawafanya watu watoke povu. ..mambo makubwa makubwa anayofanya JPM hamyaoni. ..

Mabadiliko mliyoyataka ndio haya anafufua viwanda vya sukari. ..Twananchi tulieni JPM afanye kazi.
Liberia Samuel Doe aliongoza mapinduzi kwa sababu ya kupanda kwa bei ya mchele, tuonyeshe hayo mambo makubwa makubwa tuyaone na sisi na jinsi yalivyosaidia kuinua hali ya maisha ya wananchi, ufisadi wenye direct impact kwenye maisha ya wananchi hashughuliki, mfano wa IPTL, Lugumi and the likes. Tatizo tulilokuwa nalo watanzania ni watu mnaoimba mapambio hamtaki kutazama mambo kwa jicho la tatu
 
Back
Top Bottom