Sugu: Usalama wa Taifa wanatoa siri kwetu!

Sugu: Usalama wa Taifa wanatoa siri kwetu!

Status
Not open for further replies.
Mnaobisha na kulalamika mnapswa kujiuliza mbona TISS haijawahi kuwashitaki mahakamani kwa kuichafua,!

Swali la pili:Je,tuhuma hizi zimeanza leo?

Do you know that, silence means yes?

Sio kila ukimya maana yake ndio; na kila kazi inajinsi ya ufanyaji! !!!!!!
SIDO na VETA vyote vyuo vya ufundi ila vina tofauti!!!!!!
Mahakama pamoja na sifa zooote ila sio kila kesi huhukumiwa huko!!!!!!
Mnataka majibu!!!????Mtayahimili au mbwembwe tu za kushiba ruzuku na madaraka yasiyotegemewa???!!!!

Sasa kwa taarifa yako hata Dodi na Diana waliachwa ili dunia ishuhudie then kesi yao hata mahakamani haikusomwa ila ilihukumiwa!!!!!!

Marehemu Karegeya was addicted too;ni ndoano ya kawaida tu kunasa waroho!!!!

In actual sense you are speaking of what you know not!!!!!!!!!!
 
Silence means yes? I don`t know.Lakini ukiona kobe kainama anatunga sheria.Sheria gani? Sijui maana yuko kainama.

This boy is insane if not lunatic!!!!!!!
Polisi wa bunge tu almanusra suruali imvuke halafu hapa wanadai "majibu" as if wana "ear drum" ya kutosha kumudu the "wave"!!!!!!!

"The dog is being named badly....."
 
Sugu,Lema,Afande Sele,Diva...
Hawa watu wana kitu in common,microscopic intelligence quotient!!!
 
Vijana wa usalama wa ck hiz njaa na sifa tu.ukikaa baa kujisifia tu na ukimpiga bia mbili analopoka yote
 
Wito kwa chadema tangazeni sera za chama .
Waambieni wananchi sera zenu.... yani.hamna dira

Mnalopoka tu leo dr.slaa.nae kasema.nomba la.gas linapelekwa ulaya si.mtwara dar
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema mafanikio wanayoyapata yanatokana na watumishi wa Idara ya Usalama kutoa siri kwao.

Kauli hiyo ilitolewa na mbunge Joseph Mbilinyi(Sugu) juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda ambapo amesema hali hiyo inatokana na maofisa wa Idara hiyo kutolipwa vizuri.

Mbung huyo alisema nchi inayumba kutokana na serikali kutowajali maofisa wa Idara hiyo na hivyo kuamua kuvujisha siri zao.

Mh. Mbilinyi ameongeza kuwa CHADEMA imepata taarifa kuwa CCM imepeleka vijana 300 kambini katika shule ya msingi Chamila wilayani Mbarali ili kuwapatia mafunzo vijana hao ili waje kuvuruga mikutano ya CHADEMA.

CHANZO: Mtanzania

Daa kweli usalama wa taifa wamechoka na utawala

Siasa na Maendeleo
 
Sio kila ukimya maana yake ndio; na kila kazi inajinsi ya ufanyaji! !!!!!!
SIDO na VETA vyote vyuo vya ufundi ila vina tofauti!!!!!!
Mahakama pamoja na sifa zooote ila sio kila kesi huhukumiwa huko!!!!!!
Mnataka majibu!!!????Mtayahimili au mbwembwe tu za kushiba ruzuku na madaraka yasiyotegemewa???!!!!

Sasa kwa taarifa yako hata Dodi na Diana waliachwa ili dunia ishuhudie then kesi yao hata mahakamani haikusomwa ila ilihukumiwa!!!!!!

Marehemu Karegeya was addicted too;ni ndoano ya kawaida tu kunasa waroho!!!!

In actual sense you are speaking of what you know not!!!!!!!!!!

Irrelevant comment!
 
kama ni kweli Sugu kaongea haya basi hii itakuwa ni kwa hisani ya Gongo
 
Vijana wa usalama wa ck hiz njaa na sifa tu.ukikaa baa kujisifia tu na ukimpiga bia mbili analopoka yote

Mwenye "yote" huwezi kukaa naye wewe kapuku mnuka jasho kula yako ya miaka mitano ijayo huna uhakika nayo!!!!!!! I mean leo ukiumwa na kuparalyse huna hela ya kukulisha miaka mitano achilia mbali matibabu!!!!!!!
Bia mbili za mwenye "yote" anapokunywa wewe huingii na hata ukipenya hutokaa hiyo meza!!!!!!

Acheni kujitia ujuaji sana na confidence ya kifaranga kula mpunga wa mfugaji sababu tu amezoeana naye na kujiona anammudu wakati hata kufungua mlango wa banda lake hawezi!!!!!!
 
Sugu eleza ukweli, Sirius za chama cha mizigo kwa cdm ni upuuzi wewe ziweke hewani tuuuuu! Mpaka cku tunawaondoa madarakani! Ebooooo!! Cwapendi mi'
 
Mnaobisha na kulalamika mnapswa kujiuliza mbona TISS haijawahi kuwashitaki mahakamani kwa kuichafua,!

Swali la pili:Je,tuhuma hizi zimeanza leo?

Do you know that, silence means yes?
Kwani TISS wanapaswa kuappear mara kwa mara kwenye public? Maana ukiintertain mambo ya mahakamani ni wazimkuwa unajiumbua. Mie nawajua usalama wa taifa ni akina Zoka na Othman pekee. Wengine siwajui. Labda ndo akina Sugu wanapatia mpenyo wa kuropoka
 
Nimeisoma hii habar,nawashaur muisome hii habar,anasema kuwa pia ndani ya usalama wa taifa kuna CHADEMA,na ndani ya Polisi kuna Chadema
 
Vijana wa usalama wa ck hiz njaa na sifa tu.ukikaa baa kujisifia tu na ukimpiga bia mbili analopoka yote
Wewe unawanywesha ciroba red brigade unasema ni usalama wa taifa. Pia utajuaje baina ya usalama wa taifa fake na original? Maana siku hizi wapo fake kibao
 
Nimeisoma hii habar,nawashaur muisome hii habar,anasema kuwa pia ndani ya usalama wa taifa kuna CHADEMA,na ndani ya Polisi kuna Chadema
Kusema si hoja Mkuu. Kuna wakati dr slaa alisema kuwa zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripori kwake. Sugu anasema kuwa ni rheluthi moja? Upuuzi mtupu
 
Usalama wa taifa nao wamechoshwa na utawala mbovu wa Kikwete, wamechoshwa kubebeshwa pembe za ndovu na Kikwete, wamechoshwa na matumizi mabaya ya madara ya serikali ya ccm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom