Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,761
- 165,353
- Thread starter
- #61
It is true,but cockroach brain works better than that of CCM members!It needs brightness to understand because even a cockroach encases a brain in its head!!!!!!!!
It is true,but cockroach brain works better than that of CCM members!It needs brightness to understand because even a cockroach encases a brain in its head!!!!!!!!
Mnaobisha na kulalamika mnapswa kujiuliza mbona TISS haijawahi kuwashitaki mahakamani kwa kuichafua,!
Swali la pili:Je,tuhuma hizi zimeanza leo?
Do you know that, silence means yes?
Unaifahamu TISS? wao hawana mda wa kwenda kujibu tuhuma za kipumbavu ...
....SUGU anaujua mshahara wa security officer wa TISS?
.....kwa kitu gani ambacho chadema kinaipa TISS mpaka kutoa siri?
...sugu ana uhakika gani kama hao wanaompa siri ni maafisa wa ukweli kutoka TISS?
...unajua kwa TISS kujibu hoja ni kujishusha hadhi?
....do u still believe in a saying " silence means Yes?
....so kwa kusikia taarifa hizo kila mara kunatosha ku confirm tuhuma?
...umeshindwa kufikiri kuwa ni th same chama wanaotoa madai?
...unafaham sheria za intelligence organs zinasemaje endapo zitazushiwa utumbo?
...nina mengi ya kukuuliza ila niko busy sana leo.
...u still av long way to go
...if possible go back to old xul n forget not to opt for philosophy / critical thinking ...it will do u good.
...nawasilisha...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema mafanikio wanayoyapata yanatokana na watumishi wa Idara ya Usalama kutoa siri kwao.
Kauli hiyo ilitolewa na mbunge Joseph Mbilinyi(Sugu) juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda ambapo amesema hali hiyo inatokana na maofisa wa Idara hiyo kutolipwa vizuri.
Mbung huyo alisema nchi inayumba kutokana na serikali kutowajali maofisa wa Idara hiyo na hivyo kuamua kuvujisha siri zao.
Mh. Mbilinyi ameongeza kuwa CHADEMA imepata taarifa kuwa CCM imepeleka vijana 300 kambini katika shule ya msingi Chamila wilayani Mbarali ili kuwapatia mafunzo vijana hao ili waje kuvuruga mikutano ya CHADEMA.
CHANZO: Mtanzania
Unaifahamu TISS? wao hawana mda wa kwenda kujibu tuhuma za kipumbavu ...
....SUGU anaujua mshahara wa security officer wa TISS?
.....kwa kitu gani ambacho chadema kinaipa TISS mpaka kutoa siri?
...sugu ana uhakika gani kama hao wanaompa siri ni maafisa wa ukweli kutoka TISS?
...unajua kwa TISS kujibu hoja ni kujishusha hadhi?
....do u still believe in a saying " silence means Yes?
....so kwa kusikia taarifa hizo kila mara kunatosha ku confirm tuhuma?
...umeshindwa kufikiri kuwa ni th same chama wanaotoa madai?
...unafaham sheria za intelligence organs zinasemaje endapo zitazushiwa utumbo?
...nina mengi ya kukuuliza ila niko busy sana leo.
...u still av long way to go
...if possible go back to old xul n forget not to opt for philosophy / critical thinking ...it will do u good.
...nawasilisha...
sugu anadai nchi imeyumba kwasababu wao wanapewa siri na usalama wa taifa.Hii habari mbona kama nashindwa kuielewa hivi...
Uhusiano wa mipango ya CCM na uhusika wa TISS upo vipi?