Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,765
- 165,388
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema mafanikio wanayoyapata yanatokana na watumishi wa Idara ya Usalama kutoa siri kwao.
Kauli hiyo ilitolewa na mbunge Joseph Mbilinyi(Sugu) juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Ruanda ambapo amesema hali hiyo inatokana na maofisa wa Idara hiyo kutolipwa vizuri.
Mbung huyo alisema nchi inayumba kutokana na serikali kutowajali maofisa wa Idara hiyo na hivyo kuamua kuvujisha siri zao.
Mh. Mbilinyi ameongeza kuwa CHADEMA imepata taarifa kuwa CCM imepeleka vijana 300 kambini katika shule ya msingi Chamila wilayani Mbarali ili kuwapatia mafunzo vijana hao ili waje kuvuruga mikutano ya CHADEMA.
CHANZO: Mtanzania - Chadema yachokonoa Usalama wa Taifa