mafuvu kamuuliza siasa na mziki unavifanyaje? anasema watu wa mbeya wanajua alipotoka. anasema Ubunge una mda lakini mziki hauna mda.so anajibalance.ameambatana na kinega suma g chief rumanyika,pin royal nae ni kinega ana rafudhi la kinega ni kama mtu wa arachuga vile
vinega kesho watakuwa na tshirt, kuna kitabu cha vinega na kiingilio itakuwa buku tano. soggy doggy anasema kesho ndo miaka inatimia ya uhuru wa hip hop ya bongo.sugu anasema uheshimiwa yupo off hadi kesho saa sita usiku na hizi show za vinega zitasambaa tanzania nzima.so mwanza arusha mbeya kaa tayari. mia
mabaga flesh, had mad, siste p zay b, rama d,mkoloni(wagosi), suma g, wote watakuwepo.tiketi zitauza kesho kuanzia saa sita,milango itafunguliwa saa tisa. mia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.