Sugu na vinega ndani ya eatv friday night live.. Don't miss..

vinega ndani nyumba.sugu kavaa miwani, magwanda ya chadema. shati kafungua vifungo halafu ndani kunatishirt nyeusi. mia
 
mafuvu kamuuliza siasa na mziki unavifanyaje? anasema watu wa mbeya wanajua alipotoka. anasema Ubunge una mda lakini mziki hauna mda.so anajibalance.ameambatana na kinega suma g chief rumanyika,pin royal nae ni kinega ana rafudhi la kinega ni kama mtu wa arachuga vile
 
vinega kesho watakuwa na tshirt, kuna kitabu cha vinega na kiingilio itakuwa buku tano. soggy doggy anasema kesho ndo miaka inatimia ya uhuru wa hip hop ya bongo.sugu anasema uheshimiwa yupo off hadi kesho saa sita usiku na hizi show za vinega zitasambaa tanzania nzima.so mwanza arusha mbeya kaa tayari. mia
 
mabaga flesh, had mad, siste p zay b, rama d,mkoloni(wagosi), suma g, wote watakuwepo.tiketi zitauza kesho kuanzia saa sita,milango itafunguliwa saa tisa. mia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom