Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,516 Reaction score 46,365 Jul 23, 2026 #1 Your browser is not able to display this video. Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali. Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo akabidi ahoji ni kitu gani kinaendelea. Baada ya kuelezwa kuhusu wazo hilo, Sugu akaona hatuweza kuwa sehemu ya mradi huo lakini kwa maana nzuri tu.
Your browser is not able to display this video. Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali. Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo akabidi ahoji ni kitu gani kinaendelea. Baada ya kuelezwa kuhusu wazo hilo, Sugu akaona hatuweza kuwa sehemu ya mradi huo lakini kwa maana nzuri tu.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,863 Reaction score 23,466 Jul 30, 2026 #3 Unatakiwa kuwa na sikio kuelewa Sugu anasema nini. Kila taasisi inayofanya vizuri, ikionyesha mafanikio kidogo au ikiwa na wafuasi wengi nchini Tanzania lazima itatumika kisiasa.
Unatakiwa kuwa na sikio kuelewa Sugu anasema nini. Kila taasisi inayofanya vizuri, ikionyesha mafanikio kidogo au ikiwa na wafuasi wengi nchini Tanzania lazima itatumika kisiasa.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,480 Reaction score 24,325 Jul 31, 2026 #4 Bar za sekunde 15 2m, Madee hana ukwasi huo