Sugu awaonya wakazi wa mbeya mjini

Sugu awaonya wakazi wa mbeya mjini

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
938
Reaction score
125
Mbunge wa mbeya mjini ndg JOSEPH MBILINYI jana tarehe 11/01/2012 alipokuwa akiongea na wananchi wa jimbo lake Ktk viwanja vya nzovwe shule ya msingi, aliwaonya waache tabia KUMUITA RAISI kwa kuwa anaogopa kupewa kesi ya UHAINI...
Aliongea hayo mda mfupi kabla mgeni rasmi Dr. Slaa hajapewa nafasi ya kuzungumza na wananchi......
Swali je wananchi wataelewa..... Maana si jimboni kwake tu hata dsm ktk uzinduzi wa albam ya antivirus mashabiki wake walikuwa wakimshangilia kwa kumuita Rais.....
 
Ni tahadhari nzuri!
Wanasiasa wakitaka kukuundia zengwe wanakupa kesi kwa kitu cha aina hiyo bila kujali kama maneno hayo ni spontaneous toka kwa raia wanaomgwaya!
 
Kuna marais wengi, anaweza kuwa rais wa mbeya, rais wa Muziki na kuna marais wa makampuni mbali mbali. Kwa hiyo neno rais linategemea na sehemu anayoitwa. Kama anaitwa rais wa Tanzania hapo ndipo itakuwa sooo!!!
 
Ubongo wake ndio unaruhusu kufikiria hayo.
Sio jambo la ajabu kwake.
OTIS
 
Labda kwa waelewa finyu wanaweza kumtia hatiani. Kuna marais mbalimbali wa makampuni, mashirika, nchi nk. Hata dadi ndani ya familia ni Rais na mama ni malkia.
 
Hata mdoli ukiuita Rais kwani kuna tatizo gani? Au Marehemu ukimwambia yuko hai, siyo uhaini. Kwa hiyo yeye aendelee tu kuitwa Rais wala hatasumbuliwa kwani hana tofauti na mdoli
 
Kuna marais wengi, anaweza kuwa rais wa mbeya, rais wa Muziki na kuna marais wa makampuni mbali mbali. Kwa hiyo neno rais linategemea na sehemu anayoitwa. Kama anaitwa rais wa Tanzania hapo ndipo itakuwa sooo!!!

mkuu wenyewe wanasema mbeya nchi Rais sugu....
Kitu i ndiyo anaikataa
 
Umati wa jana ulikuwa nyomi balaa kweli Sugu rais mbeya nchi.
 
Labda kwa waelewa finyu wanaweza kumtia hatiani. Kuna marais mbalimbali wa makampuni, mashirika, nchi nk. Hata dadi ndani ya familia ni Rais na mama ni malkia.

kwa upande wa sugu wanasema ni rais wa mbeya..... Mkuu huoni kama hii inaweza ikawa mbegu ya mpasuko wa umoja ktk nchi kwa vizazi vijavyo....
 
Tatazo Sugu ni muuza sura... na unfortunately most ya watu wambea do not
see him kama alivo... Hata nashangaa hii kauli katoa, maybe he is evolving...
 
Hata mdoli ukiuita Rais kwani kuna tatizo gani? Au Marehemu ukimwambia yuko hai, siyo uhaini. Kwa hiyo yeye aendelee tu kuitwa Rais wala hatasumbuliwa kwani hana tofauti na mdoli

Lile bango ndio lamfanya aamini kuwa anaweza kuwa rais wa nchi hii.
Kweli bangi mbaya

mkuu labda kama una chuki binafsi tu na mbilinyi.....
Kilichomfanya aseme ivyo si lile bango, alipokuwa anakalibishwa na mc umati ndo ulianza kutoa shangwe huku wakimuita rais rais.....
 
Tatazo Sugu ni muuza sura... na unfortunately most ya watu wambea do not
see him kama alivo... Hata nashangaa hii kauli katoa, maybe he is evolving...

hiyo sura anauziaga wapi mkuu ?
Wengne hatujui......
 
Hivi vitu vya mtu kusujuudiwa Sugu si wa kwanza. Kasujudiwa Lyatonga Mrema na watu wakambeba jui kwa juu mwaka 1995. Pale UDSM Mchungaji Mtikila alibebwa na maprofesa lakini leo hii waangalie woye hao walivyochoka. Tatizo ni kwamba Sugu hana upeo wa fikra na wapambe wake kuna vitu wanafaidi katika kipindi hiki wakati akifanya ujinga huo. Tusubiri 2015 wakati atakapokosa kura za maoni za CDM kuiwakilosha Mbeya kwenye uchaguzi mkuu ndipo utakapo jua kama wapambe nuksi.
CDM wana mtu tofauti watakaye msimamisha na i swear siyo Sugu. Tega sikio
 
Tatazo Sugu ni muuza sura... na unfortunately most ya watu wambea do not
see him kama alivo... Hata nashangaa hii kauli katoa, maybe he is evolving...
The words in red are no where to be found in my dictionary. msaada please
 
Hivi vitu vya mtu kusujuudiwa Sugu si wa kwanza. Kasujudiwa Lyatonga Mrema na watu wakambeba jui kwa juu mwaka 1995. Pale UDSM Mchungaji Mtikila alibebwa na maprofesa lakini leo hii waangalie woye hao walivyochoka. Tatizo ni kwamba Sugu hana upeo wa fikra na wapambe wake kuna vitu wanafaidi katika kipindi hiki wakati akifanya ujinga huo. Tusubiri 2015 wakati atakapokosa kura za maoni za CDM kuiwakilosha Mbeya kwenye uchaguzi mkuu ndipo utakapo jua kama wapambe nuksi.
CDM wana mtu tofauti watakaye msimamisha na i swear siyo Sugu. Tega sikio
Hao unaojaribu kumlinganisha nae hawakushinda hizo chaguzi where as Sugu did win hivyo ulinganifu huo si sawa na kuhusu utabiri wako inategemea na vigezo vyako bt halahala usijekuwa kama late Sheikh Yahya or TMA (Watabiri wa Hali ya Hewa Bongo) na tabiri zao
 
Back
Top Bottom