Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
Mh sugu yuko sahihi, magamba wameshaona jimbo hilo si lao, wanaweza kufanya lolote kwake so ni bora akaanza kuwawahi mipango yao na pia anaweza kuwa amesha tonywa na wasamaria wema kuwa linakuja hilo la uhaini.