Sugu atinga Bungeni na kusimamisha shughuli za Bunge kwa muda

Kitu ambacho nimependa ameonyesha heshima kubwa Kwa waandishi Wa habari pale mlangoni alipokua anaingia,alisimama akawasalimia hao waandishi Wa habari na wapiga picha na hata walipomuomba apigwe picha alikubali na kutoa ushirikiano mkubwa mpaka walipomaliza kupiga picha ndo akaingia bungeni,kweli ameonyesha kuwajali na kuthamini tasnia ya habari nchini
 
wakuu vipi mbona siku hizi zile nunua nunua za wabunge na madiwani wa UKAWA zimekwisha ama ni ile 1.5 trlin imekwishney.Dah RIP AKWELINA AKWELINI.
 
Back
Top Bottom