Sugu atikisa Makambako

Sugu atikisa Makambako

attachment.php
 
Hakuna zaidi ya siasa chafu tu hapa tatizo vyama vyetu katika saa moja jukwaani nusu saa ni kuponda mwingine dk 20 kujisifu na dk 10 hoja za maendeleo.yy ndo anampa umaarufu zitto kwa kumuongelea si angekaa kimya asubiri aje aumbuke yani dhahiri anagawa ukanda kisasa mchana kweupe

tofautisha ukweli na kuponda, sugu amesema hahitaji umaarufu kwani alishakuwa maarufu siku nyingi ana albamu kumi, yupo kwenye siasa kutetea watanzania wanyonge na taifa kwa ujumla.
 
duh ! RAIS WA MBEYA ameanza kuvuka mipaka ? Kweli kazi ipo !
 
nimekubali mkuu Sugu hayo mauaji uliyowafanyia watani zetu CCM Hapo ni zaidi ya mauwaji ya Soweto ( s/A).
 
Am very sorry but SUGU will never be a politician neither a leader according to my standards .
Who ever see him as a leader /politician , he must be insane.
 
Suuuguuuuuuu!!!!!!!! Chapa mwendo kaka mkubwa.
 
Acha wivu, wewe ni nani banaaaaa.,,,,,,,,,,,kusoma hujui hata picha!
 
Haya ndio aliyosema Zitto kuhusu fisadi Mbowe."Lissu anasema nimepewa magari
2 na Mzee Mkono. Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini
Mkono alimwambia pia mwaka
2005 alimpa Freeman Aikaeli
Mbowe tshs 40m ili Mbowe
asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka
2008 (baada ya orodha ya
mafisadi kutangazwa 2007) Mkono
alimpa Freeman tshs 20m za
uchaguzi wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa. Nadhani
alimwambia pia kuwa Mwaka 2010
Mkono alimpa Mbowe tshs 200m
za kampeni ya Slaa. Pia
hakusahau kumwambia kuwa
Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs
100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama
kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa
Mkono and Company Advocates
kuhusu masuala ya mikataba.
Mzee Mkono ni Mzee wangu na
alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu
ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi
namtaka mama wa kifaranga
ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani
na Kinana na Sumaye mwaka 2005
kufuatia deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC
kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.
They must know I am not a push
over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu
mke wake aliyemzalia watoto
hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili[/QUOTE]
 
Habari mbaya kwa ccm.Zito kipenzi chao naye kaisha,kwakweli ni usiku mbaya kwa ccm

nakubaliana nawe ccm hali ni mbaya, sugu ametoa ushauri kwa jk kuwa serikali yake imeshindwa jambo moja la kumfanya akumbukwe ni kuisimamia katiba kwa haki hiyo ni legacy pekee katika uongozi wake, amemshangaa lowasa kujifanya mwema kwa vijana wa bodaboda wakati ccm ilikuwa haiwataki bila cdm kuwatetea, halafu amesema mtu anayetaka urais issue ya bodaboda ni ndogo sana hiyo ni kazi au kampeni zinazopaswa kufanywa na madiwani au mameya kwa ngazi anayotaka ni aibu kuzungumzia bodaboda inaonyesha haoni mambo mengine ya kitaifa. amesema pinda anatakiwa ajizuru tu hakuna jinsi
 
magamba mtaisoma namba 2015
 

Attachments

  • tmp_20140105_1753171209062013.jpg
    tmp_20140105_1753171209062013.jpg
    322.8 KB · Views: 421
  • tmp_20140105_174711-576467332.jpg
    tmp_20140105_174711-576467332.jpg
    277.6 KB · Views: 433
hakuna kulala kamanda sugu kaza buti tuko yuma yako, big up sana cdm
 
Back
Top Bottom