danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,675
Hakuna zaidi ya siasa chafu tu hapa tatizo vyama vyetu katika saa moja jukwaani nusu saa ni kuponda mwingine dk 20 kujisifu na dk 10 hoja za maendeleo.yy ndo anampa umaarufu zitto kwa kumuongelea si angekaa kimya asubiri aje aumbuke yani dhahiri anagawa ukanda kisasa mchana kweupe
'Siasa ni mbio za vijiti' alishasema nikki mbisi