Sugu atikisa Makambako

Sugu atikisa Makambako

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
mbunge wa mbeya mjini leo majira ya saa 11 jioni aliifanya makambako izizime kwenye mkutano wa chadema alipohutubia wakazi wa makambako, pamoja na mambo mengine amewaambia wakazi wa nyanda za juu kusini kusimama imara kuelekea uchaguzi ujao, kwa kuwaunga mkono makamanda wa cdm katika ukombozi wa tanzania, amewaita ccm wamevuka ufisadi na kuwa chama cha wauaji, amerejea mauaji ya arusha,morogoro,iringa na operesheni tokomeza. sugu amesema wapewe nchi ili warejeshe madaraka kwa umma, akitolea wanambeya walivyorejeshewa madaraka,machinga wanavyofanya biashara kwa uhuru. mh. ameshangaa serikali kunyanyasa wafanyabiashara kwa kuita uchafu watu wanaouza nyanya nk, ameshangaa mji wa kibiashara kukosa maji, amemtahadhalisha zito kuja nyanda za juu kusini maana ataumbuka, amesema kuendelea kumwongelea ni kumpa umaarufu,amesema cdm itaendelea kuwapigania kwa gharama zozote. amesema ccm ya nyerere aliondoka nayo iliyopo ni ya wauaji,wanaozawadiana vyeo kindugu, amesema cdm ndiyo walidai katiba mpya,amemuasa kikwete apig
 
Hakuna zaidi ya siasa chafu tu hapa tatizo vyama vyetu katika saa moja jukwaani nusu saa ni kuponda mwingine dk 20 kujisifu na dk 10 hoja za maendeleo.yy ndo anampa umaarufu zitto kwa kumuongelea si angekaa kimya asubiri aje aumbuke yani dhahiri anagawa ukanda kisasa mchana kweupe
 
Mlikuwa mnaisikiliza mbwa manake wenye mbwa walikuwa na press conference leo..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Chadema ni noma tupu, kwetu sisi ni kazi tuuuuu, tutapambana na zito kama tunavopambana na sisiem wenzake, safi sana kamanda sugu.
 
Hakuna zaidi ya siasa chafu tu hapa tatizo vyama vyetu katika saa moja jukwaani nusu saa ni kuponda mwingine dk 20 kujisifu na dk 10 hoja za maendeleo.yy ndo anampa umaarufu zitto kwa kumuongelea si angekaa kimya asubiri aje aumbuke yani dhahiri anagawa ukanda kisasa mchana kweupe
Hizo sifa naona niza Mwigulu
 
Habari mbaya kwa ccm.Zito kipenzi chao naye kaisha,kwakweli ni usiku mbaya kwa ccm
 
Back
Top Bottom