Sugu amvaa Nchimbi

Mkuu alipokuwa anaongea hayo bungeni sikuweza msikiliza live ila nilipata ile nakala aliyoiweka DM, sasa ingekuwa vizuri kujua majibu ya serikali.
Sisi atutaki akae kimya mbona ameongea bungeni hakijabadilika kitu sasa facebook ndio nini kitabadilika, suala ni kutafuta suluhisho sio kutoa taarifa ya tatizo kila mtu anaona hali ya wasanii wetu.
Ndio maana nikasema kwanini asiende mahakamani?
 

You have serious problems mdogo wangu, You need to consult books.
 

Kumbe hujaelewa Facebook au Twitter hakuna anayekatwazwa kutumia na tuna encourage matumizi yake ila ujumbe uliowekwa pale unawafika watazania wachache.

Hivyo basi ikulu walitumia media nyingine za habari kama redio,tv, n.k, hili ujumbe ufike kwa watanzania wote, suala ni kwamba facebook na twitter inatumiwa na watu wachache sana na wanaotumia pia wengi sio friends au followers wa Sugu
 
You have serious problems mdogo wangu, You need to consult books.

Naamini chombo cha kutumia kudai haki yako ni mahakamani, pia hiyo nimeandika kuonyesha kwanini asifuate sheria kutatua hilo kuliko kubakia anaandika kwenye facebook.

Hapo kwenye red naomba ufafanuzi?
 
Sugu haruhusiwi kuandika anachohitaji kuandika ktk mitandao ya kijamii??
aliandika fiesibuku, ikaletwa humu JF na ndo ukaisoma wewe na hivyo ndo habari zote zinavyosambaa.
Sasa unataka akapige ukunga shimoni?? Nini kazi ya mitandao ya kijamii???
Are you sure hautumii miguu badala ya mikono kutype haya ninayoyasoma kutoka kwako?
 
[/COLOR]
Naamini chombo cha kutumia kudai haki yako ni mahakamani, pia hiyo nimeandika kuonyesha kwanini asifuate sheria kutatua hilo kuliko kubakia anaandika kwenye facebook.

Hapo kwenye red naomba ufafanuzi?
Again, go and consult your dictionary utapata ufafanuzi.
 
Hili la BASATA halimuhusu kama mbunge??
ssue

Nadhani kazi ya mbunge unaijua vizuri akiwa nje na ndani ya bunge, huyu wa kwetu (sugu) ni bongo lala kwake yeye anaona kwake "the most pressing issue ni ruge na bongo fleva which is very wrong", na anapaswa mara moja awasome wana mbeya na kuungana nao ktk majukumu ya maendeleo na si kila wakati ruge ruge, hatukumpatia ubunge kama kipigio kwa wasanii wenzie, tulitaka kuonyesha ulimwengu kana kwamba vijana/wasanii wakipewa nafasi wanaweza. kuwa mbunge msanii si kosa lajaonekana ni kosa kwa kuangalia matendo, huyu angekuwa ana evidence against Ruge si aende mahakamani na kufaili kesi.
 

Tatizo sijui huelewi au unasahau haraka, sugu kama kweli anataka kutoa tamko angefanya kama alivyokuwa na show ya vinega angeita waandishi wa habari na kusema dukuduku lake.
Ila hapa ninachopinga ni kwamba kuongea kwenye mitandao ya jamii hakutatui kero za wasanii hasa huu mvutano wa Sugu na Clouds pamoja na Studio hiyo ya serikali.
Je Sugu hana njia nyingine ya kutatua hili suala?
Je anawashirikisha wasanii wengine zaid ya vinega katika kutatua hiyo issue ya studio?

NB: Majibu yako hayo yenye nyekundu

 
Again, go and consult your dictionary utapata ufafanuzi.
Tatizo hapa Tanzania mahakama ni chombo cha mwisho kudai haki, hapa sio kwamba sijaelewa lugha sasa sioni haja ya kufungua kamusi wakati hamna msamiati hapo ,inawezekana bado hujaelimika.
 
ujinga wa wabunge kama hawa kwenye hii jf ni bora mka delete
 

hata mimi namshangaa huyu kaka, hivi hana majukumu mengine huko mbeya zaid ya muziki. Ndo tabu ya kuchagua wahuni kwenye mambo muhimu kama uwakilishi. SUGU WE ARE TIRED OF YOUR NONSENSES.
 

An empty head is devil's workshop.
 
hata mimi namshangaa huyu kaka, hivi hana majukumu mengine huko mbeya zaid ya muziki. Ndo tabu ya kuchagua wahuni kwenye mambo muhimu kama uwakilishi. SUGU WE ARE TIRED OF YOUR NONSENSES.

Hapo kwenye red jaribu kuzingatia matumizi ya singular and plural.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…