Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Hili la BASATA halimuhusu kama mbunge??Huyo sugu tumeshamchoka kwa kutafuta huruma ya watanzania,hivi yeye kama mbunge anashindwa kumwandikia barua huyo waziri na kujua msimamo wa serikali katika hilo.
Halafu pia anamajukumu huko jimboni kwake kila siku yeye anaugomvi na watu halafu anataka raia tumsaidie vita yake? sugu fanya mambo kama mbunge.
Huyo sugu tumeshamchoka kwa kutafuta huruma ya watanzania,hivi yeye kama mbunge anashindwa kumwandikia barua huyo waziri na kujua msimamo wa serikali katika hilo.
Halafu pia anamajukumu huko jimboni kwake kila siku yeye anaugomvi na watu halafu anataka raia tumsaidie vita yake? sugu fanya mambo kama mbunge.
Sugu cyo kwamba hana kaz but anawasaidia wasanii wasio na upeo haki zao
Yeye kama mbunge angeandika barua au kwenda Nchimbi pia na Basata kujua msimamo wa serikali katika hilo,maana alivyoandika facebook ni watu tu wataosha vinywa na mchezo utaishia hapo kupiga kelele tu hakusaidi kitu.Hili la BASATA halimuhusu kama mbunge??
Soma hii hotuba hasa hapo kwenye red tafathali.Yeye kama mbunge angeandika barua au kwenda Nchimbi pia na Basata kujua msimamo wa serikali katika hilo,maana alivyoandika facebook ni watu tu wataosha vinywa na mchezo utaishia hapo kupiga kelele tu hakusaidi kitu.
Kama anania madhubuti ilitakiwa afuate sheria zote kupinga hilo kuliko kulialia facebook.
Yeye kama mbunge angeandika barua au kwenda Nchimbi pia na Basata kujua msimamo wa serikali katika hilo,maana alivyoandika facebook ni watu tu wataosha vinywa na mchezo utaishia hapo kupiga kelele tu hakusaidi kitu.
Kama anania madhubuti ilitakiwa afuate sheria zote kupinga hilo kuliko kulialia facebook.
Kuna movement gani ya kujenga chao kaanzisha? Hawawezi kuji-organize/ kukichanga wakaacha kuwa tegemezi hawa kwa hela mbuzi wanazopata na network zao?
Huna hoja hapo kwenye red...unajuaje kama alishaandika na sasa anawajuza watanzania waujue ukweli wa mambo..usidharau facebook..hata Obama raisi wa taifa kubwa duniani anaitumia.Yeye kama mbunge angeandika barua au kwenda Nchimbi pia na Basata kujua msimamo wa serikali katika hilo,maana alivyoandika facebook ni watu tu wataosha vinywa na mchezo utaishia hapo kupiga kelele tu hakusaidi kitu.
Kama anania madhubuti ilitakiwa afuate sheria zote kupinga hilo kuliko kulialia facebook.
Ubwabwa ushaanza kukulevya!WaTanganyika mnanishangaza sana tena sana . Hapa la Kusaga na Ruge kupewa studio mnalalamika mbona suala la MoU ya kanisa na Serikali hamlalami?
Au kwa kuwa nanyi mpo kwenye kunufaika.
Acheni unafiki .Poleni sana,
" na hatimaye Dunia nzima inajua na imekubali kuwa mimi ndiye SUGU"Sugu angetafuta hoja nyingine mpya hii imechakaa sana!