Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,949
Reaction score
74,431
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
 
Tazama barabara ya Singida Shelui Nzega,ovyo kabisa.Tabora waliambiwa na Magufuli kama mpaka mwezi wa 4 hawajamaliza atawatimua wachina.hakuna kitu,kuna lami km 10 tu kati ya 130 kwenda Nzega
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?
 
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu

Hakika bila ushabiki, barabara ya songea-Makambako ni tangu miaka ya 80! Lazima kuna tatizo na wataalamu na mawaziri wa sasa. Tunaomba wasikasilike. Wajiulize mapungufu yao.
 
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya miezi michache zinqumuka na kuhitaji matengenezo makubwa wakati kuna barabara za zamani kama Makambako -Songea ni za zamani na bado zinahimili zaidi ya hizi?
Pia amezungumzia makampuni ya kigeni kama Strabag kuwazulumu vibarua wazawa naye kukaa kimya kwa hilo zaidi ya kujisifia binafsi.
Kamaliza na kusema kama anajipigia debe la urais huko asahau bali mahali panapo msahili ni jela kwa kushiriki kwake ubadhilifu
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.
 
Magufuli tenda wema nenda zako usingoje shukrani hawa wapinzani ni kama watoto wa kambo hawana shukrani wala ahsante wakipewa wanalalamika wakinyimwa pia wanalalamika mvua hizi za mwaka huu kuharibika miundo mbinu na akitokea mpuuzi kulalamika wala usimshangae kwa vile mwanakharamu hata umweke katika chupa lazima ataonesha kidole mie nimo humu chapa kazi baba achana na hayo MAKAWA hayana jipya!
 
itakua labda kamlipua kwenye verse za huipu hopu, lakini hana credentials za kuhoji utendaji wa magufuli. waliomchagua walikosa mbadala wake ila 2015 hawatakosea tena kumrudisha bungeni
 
Hivi mbeya jiji zima mliona huyu ndo m2 wa kuwasilisha mawazo yenu bungeni? ok any way ndo demokrasia hiyo.
NB: Magufuli ni vema huyu usimjibu endelea na shughuli zako, hapa Nyamirembe na Kazunguti mpaka kachwamba jimboni chato maji hayafiki kutokea ziwani tafadhali jitahidi kutatua na Mungu akubaliki sana kazi yako tunaiona na kukuombea sana Maana Magufuli vs Sugu..... ni almas vs kinyesi.

Magufuli ni almasi! wewe ni nini? Unasifia dume hadi wewe mwenyewe unajiweka shimo la taka!

Vipi hapo Chalinze, kuna mbunge?
Vipi hapo ilala, kuna mbunge?
Vipi hapo Gairo, Kuna mbunge?
Vipi hapo Kalenga, Kuna mbunge?
Vipi hapo, nk.
Vipi hapo kwenu, kuna mbunge?

Taja unakodhani kuna mbunge wa kujisifia. Anyejua anachokifanya.
 
hao jamaa wanakula kwenye unene wa lami na sio urefu....!
kama barabara ni ya km 20, zitajengwa zote, lakini kama hiyo lami ilitakiwa iwe na unene wa futi moja basi inapigwa nusu futi....., ndo maana baada ya miaka miwili matuta mengi.....
 
Kamwambia anajisifu kuwa unatoka Mtwara mpaka Bukoba kwa bajaj! Kawaambia wabunge subutu hata na GX 100 kama utafika salama bila ajali maana sasa hivi hiyo barabara ni mashimo na manundu yakutosha.
Ambao ndio ukweli. Hii tabia ya kupenda sifa anayo sana Magufuli na wapo wanaoingia mkenge
 
Kuna utofauti mkubwa wa barabara ya makambako to songea na barabara zote alizosimamia magufuli na sifa zake za kijinga ilihali akiliingza taifa hasara kubwa huku akijua hyo mikopo ya WB na ADB italipwa na watanzania wenyewe
 
Sugu angeiweka hii vizuri. Mwenzake Kafulila kasema vema asubuhi bila kuwa na reli bora nchini hizo barabara mtalaumiana tu. Link ya Makambako-Songea ina low traffic volume kulinganisha na maeneo mengi ya nchi na infact ujenzi ule wa lami ilikuwa na kuchochea maendeleo ya mkoa wa Ruvuma. Vinginevyo mkoa ungetengwa sana ule. Hata hivyo kwa sasa barabara imechoka kiasi kwamba serikali inatakiwa kuachana na type of maintenance inayofanyika ili kuokoa link hiyo. Kwa uchache nawasilisha.
 
itakua labda kamlipua kwenye verse za huipu hopu, lakini hana credentials za kuhoji utendaji wa magufuli. waliomchagua walikosa mbadala wake ila 2015 hawatakosea tena kumrudisha bungeni
nimecheka sana
cc: Yericko
Bensaa8
hayo ndo majembe ya ukweli sugu + mbowe +lema +Msigwa +Yericko=think tank ya chadema=27-3= kalenga=chalinze. bado ukawa.
 
Back
Top Bottom