ndio hapo utaona ujinga watz. hizo ni programu za serikali kuboresha barabara kuu na za miji. kuna siku watsema mchungaji wa Iringa ndio kajenga Dodoma hadi Iringa. hao jamaa hamna kitu ni robbots
Huku ndo kwetu. Tummenye uswe Sugu ataendelea kuwa mbunge. Ndo maana hoja ya kutugawa eti Mbeya iwe na mikoa miwili tumeikataa. Hizo pesa za kuwaajiri watu waliokosa ubunge alafu analetwa Mbeya atasaidia nini?