Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Huijui mbeya nenda kale kwanza
Mbunge anapata wapi hela ya kutakatisha mji acheni kudanganyana kama mko shule ya vidudu serikali ndo imefanya hivyo pongezi ni kwa serikali na si kwa huyo mpiga ngumi bungeni
Povu la nini?
sema kabla ya sugu mbeya mjin barabara tatzo lilikuwa wap?
Mbunge anapata wapi hela ya
kutakatisha mji acheni kudanganyana kama mko shule ya vidudu serikali
ndo imefanya hivyo pongezi ni kwa serikali na si kwa huyo mpiga ngumi
bungeni
Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
Sipo kwajili ya kubishana na buku7 fc nipo kuelezea maendeleo aliyoyaleta sugu
Kwa maelezo yako hapa unataka kutuambia kuwa Sugu ndie mkurugenzi wa jiji, pia ndiye Meya na pia ndiye halmashauri nzima ya jiji? Nijuavyo mimi, Sugu hawezi kufanya yote hayo bali ni juhudi za wadau mbalimbali wa jiji la Mbeya ndio wamewezesha jiji hilo kupata umaarufu huo.Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
Pamoja wakuu tunamtakia kazi njema ya kujenga Mbeya
ndio hapo utaona ujinga watz. hizo ni programu za serikali kuboresha barabara kuu na za miji. kuna siku watsema mchungaji wa Iringa ndio kajenga Dodoma hadi Iringa. hao jamaa hamna kitu ni robbots
teh teh teh teh teh kweli wewe ni kiazi kweli kweli. Sugu yupi? au huyu huyu bongoflavery? kilaza? or kiplati? he he utavunja mbavu watu acha utani.Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,. Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,. Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,. Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,. Nani kama sugu,. Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
uliwahi kusikia mchango wake bungeni akidai barabara or huwa anabezi kwenye yoyoyo? 2015 atamwachia jimbo Afande Sele.Pamoja wakuu tunamtakia kazi njema ya kujenga Mbeya
Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,
kumbe sugu sigu hizi anajenga barabara,
sugu aache kupigana ajenge barabara we hewa kweli.
lakini tusishangae kauli za vijana wa Bavicha ivisasa wanamwandaa lady Jdee kugombea Musoma vijijini na Rc kugombea ilala. kweli chadema kama bongo flavermkuu acha kupotosha watu, sugu atapata wapi hela ya kutengenezea lami.. huo ni msaada kutoka world bank. pia kubadilika kwa mbeya kumechangia kwa ongezeko la wawekezaji na sio sugu.