Suggestion ya Jina la Application

Suggestion ya Jina la Application

Habari wana JF,

Nina programm Application ya Kustream Live Television channels kama Ilivyokua kwa Mobdro au LiveNetTv .

Last Year nilitengeneza Kwa jina la Fsociety ila ninahitaji idea ya Jina la kuiita App. any suggestion nita appreciate
Nichek inbox tuongee !!!
 
Japo mm ni wa IOS ila nakupongeza..its a good move kwa kijana. Sec fanyia kaz ushaur.third tufanyie wepes na ss wa IOS
 
Hongera Sana Mkuu, Ni hatua kubwa mno uliopiga, keep it up.

Cha muhimu zingatia maoni ya wadau, Kuna mdau nyuma kachangia kuhusu UI(User Interface) na Mimi naongezea pia UX (User Experience) aisee ivii nivitu muhimu mno kwenye industry (for developers), Ni vya muhimu mno kuzingatia unapoaandaa product yako aswa aswa if ur taking it to the market, so work on them.
 
Asante, Im working on a Code on Flutter For it to run on both platfoms and for best UI/UX
 
Back
Top Bottom