Sudani Kusini ni nchi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sudani Kusini ni nchi mpya

Discussion in 'International Forum' started by sijuikitu, Feb 8, 2011.

 1. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa Sudani Kusini walipiga kura na asilimia 98.83% wametaka kujitoa na kuwa nchi huru.

  Sudani ya Kusini ina mafuta mengi, ila haiwezi kuya export bila kupitia Sudani ya Kaskazini.

  Mwalimu Nyerere alikuwa anataka kuunganisha Africa, ila naona viongozi wa siku hizi wanataka kuigawa.

  Haya tuone tutanishia wapi.
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  NKURUMAH,ndio alitaka kuiunganisha afrika,Nyerere alipinga na baadaye kujump on the bandwagon ya ku unite afrika when it was too late
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mungu kawasaidia kujinasua kutoka kwenye makucha ya waarabu wa sudan kaskazin,jamaa katili sana wale.
   
 4. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ufahamu ukweli huu...

   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  africans are ever the difficult race to learn from history
   
 6. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tayari mada inataka kupotoshwa.
  Wote tunajua kwamba Africa haitoungana Mpaka Jesus atakaporudi, sasa kuanza kubishana nani alitoa
  wazu au alitaka au vyovyote vile juu ya Africa Kuungana sio issue kabisa, hizo ni failed ideologies, kuanza kujadili vitu vilivyoshindikana hasa bila kutoa mawazo chanya ya kufanikisha jambo hilo kwa njia nyingine
  ni upotevu wa muda, nimeanza kusikia story za nyerere na nkurumah juu ya swala hili toka nikiwa shule ya msingi.

  Kwa kifupi sababu tunajua haitowezekana kuiunganisha africa, inatupasa tujadili namna ya kuishi huku nchi za kiafrica zikiendelea kujitengeneza upya, na kutengana isichukuliwe kama ni dhambi, utengano uliotokea Sudani ya kusini ni utengano uliohitajika, Hata utengani wa Tanznia na Zanzibar uje Mapema...
   
 7. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata kama alijump kwenye bandwagon, bado alichangia kwenye kuunganisha.....viongozi wenu wa sasa mbona hawajump kwenye hiyo bandwagon?
   
 8. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  bila ubishi wa nyerere na akina kenyatta yaani viongozi waliokuwa na uchu wa madaraka wakati ule hivi leo kama ilivyo USA tungekuwa na United States of Africa
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Juzijuzi waislamu hapa nchini walipendekueza nchi igawanywe kati ya waislamu na wakristo.....watoe maoni nao tuwasikize?...................
   
 10. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya Nyerere kutaka kuiunganisha Africa ilikuwa ni lip service tu kwani alikuwa mstari wa mbele kutaka Sudan kusini itengane na kaskazini na ndio maana alipeleka wanajeshi South Sudan kwa siri ili kulifundisha jeshi la Garang!!!

  Tiba
   
 11. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Wazungu ndio wanaoigawa afrika ili wainyonye kiulaini zaidi
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Itaanza kutambulika kimataifa mwezi wa saba!
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Afrika ni mchanganyiko maelfu ya makundi tofauti, yanayozungumza lugha tofauti, yanayo-practise life style tofauti, yenye interest tofauti tofauti. hivyo siyo suala la kukaa tu na kuamua kuunganisha na kusema kwamba huo muungano utafanikiwa. Binafsi naungana na hoja ya Baba wa Taifa kuwa tuanze kuimarisha muungano wa kikanda kwanza kabla hatujafikia kuunganisha Bara zima... Muungano wa kikanda wenyewe tuliona mfano wa kushindwa kwake hapa kwetu Afrika Mashariki. Na sisi ni watu ambao tuna-share kwa karibu baadhi ya maslahi, ingekuwaje kama tungekuwa tumeunganishwa hadi na Wa-Yoruba wa Nigeria? Labda kutokuelewana zaidi...

  Sababu nyingine inayorudisha nyuma muungano wa Africa ni tofauti za kiuchumi baina ya nchi, tukiangalia Bara la Ulaya tunaona kuwa walifanikiwa kuungana kirahisi kwa sababu chumi (wingi wa uchumi) zao zinakaribiana kwa kiasi kikubwa na ndiyo maana nchi ambazo ziko nyuma kiuchumi zilikuja kujiunga baadaye na hata nyingine mpaka leo zinatuma maombi ya kujiunga EU.. Sasa leo hii tuichukue Guinea Bissau kwa mfano: nchi masikini na hata rasilimali watu wake bado siyo imara sana kulinganisha na nchi kama Libya kwa mfano, kitakachotokea hapo ni vinchi masikini kumezwa na fursa nyingi zikaenda kwa wale ambao tayai walikuwa mbele. Masikini atabaki kuwa masikini.

  Kingine kinachorudisha nyuma muungano wa Africa ni tofauti za kihistoria na kiutawala, hainiingii akilini kwamba eti Ghana ambao wameshapiga hatua kubwa kwenye suala la kukabidhiana madaraka kwa amani kila baada ya uchaguzi (Demokrasia?) kuungana na Zimbabwe ya Mugabe au Uganda ya Museveni ambao hawaamini kuwa kuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi tofauti na wao. Au Somalia ambayo kila kikundi kinajihalalishia kuongoza nchi. Hivyo mabadiliko yanayoendelea kutokea Barani Africa, itafika kipindi yatawamaliza viongozi manguli na wanaopenda kung'ang'ania madaraka na baada ya hapo tutweza kuongelea suala la Afrika kuungana. Kwa mantiki hiyo Muungano wa Afrika unahitaji muda ili kuweza kutokea na haihitaji kulazimisha wala nguvu wala pesa wala urafiki, vinginevyo tutaungana leo halafu keso tukaanza kupigana mateke ili tuvunje muungano.
   
 14. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Achana na Nyerere na siasa zake. Kama East African Community ilileta shida, muungano wa Mrima na Zanzibar ni kero tupu sasa utawezaje kuiunganisha Africa yote kama sio ndoto ya mchana?
  South Sudan wanastahili kuwa huru kutokana na waarabu wa Khartoum wanavyowabagua. Hata hapo bongo kama Arusha wakiona nchi haiendi kwa maslahi ya wengi basi wanayo haki ya kuachana na Tanzania.
   
 15. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hivi ndoto za Gaddafi kuona united states of africa ziliishia wapi?
  i heard the man was ready to sponsor the union....
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I think his idea was good, given the fact that Africa has everything. Kukiwa na United States of Africa basi soko la ndani ya nchi hizi tu linajitosheleza kwa kila kitu. Lakini the issue ni kuwa nani atakuwa raisi?
  Viongozi wa nchi nyingi za kiafrika wanapenda madaraka na hawatakubali.Hapo jirani zetu Kenya wenyewe kwa wenyewe hawaivi chungu kimoja.
  Nilikuwa naongea na classmate wangu popo toka Nigeria kuhusu hii isuue, na jamaa akasema wangefanya juu chini raisi na nusu ya mawaziri wa AU watoke Nigeria eti kisa wao ni wengi kuliko taifa lolote Africa la sivyo watavunja huo umoja wa Africa. Sasa hapo ndio madudu yanapoanza.
   
 17. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Where is Ami???????????
   
 18. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  China can play role in revitalizing S Sudan

  BEIJING - China can play a positive role in revitalizing southern Sudan after voters there overwhelmingly decided to establish Africa's newest country, analysts said.
  The South Sudan Referendum Commission on Monday announced the final results of a Jan 9-15 referendum saying that 98.83 percent of the voters had supported separation.
  Sudanese President Omar Hassan al-Bashir said his government would accept the result, setting the stage for the creation of the world's newest country this July.
  Sudan had endured decades of civil war until 2005, when a peace agreement was signed, leading to this January's referendum.
  The world has generally welcomed the peaceful settlement of the lasting dispute.
  The Chinese Foreign Ministry said on Tuesday that "China respects the choice of the Sudanese people and hopes the two sides will continue to resolve controversial issues through dialogue and consultation in line with the principle of mutual understanding and mutual accommodation".

  "China expects full implementation of the Comprehensive Peace Agreement (CPA) as well as long-lasting peace and stability in Sudan," said ministry spokesman Hong Lei.
  The White House released a statement from President Barack Obama congratulating the people of southern Sudan and announcing "the intention of the US to formally recognize southern Sudan as a sovereign, independent state in July 2011".
  The US also offered to the government of Sudan, which it had earlier labeled a "sponsor of terrorism", the prospect of improved ties. European Union foreign policy chief Catherine Ashton on Monday hailed the "historic moment for Sudan".
  South Sudan will now have to focus on the intricate process of formally disentangling itself from the north.
  Citizenship, border issues and oil-revenue rights are among the matters that still remain unresolved between the two sides. Some of these lingering disputes may have an impact on China's economic ties there.
  Yet China had also established a good relationship with the southern Sudan government before the referendum, with major officials from the region having visited China.
  China does not take sides in Sudan's domestic affairs, and will not befriend one side at the expense of another, said Xia Yishan, an energy expert at China Institute of International Studies.
  Analysts said that China can play a very constructive role in revitalizing southern Sudan.
  As some Western countries promising aid to southern Sudan have become entangled in economic problems, the southern Sudan government will need partnerships that can ensure long-lasting cooperation instead of one-off donations, said He Wenping, chief of African studies at the Chinese Academy of Social Sciences.
  He cautioned that China's economic presence in southern Sudan will experience more competition as investment from other countries is expected to flow in.
  China's rich experience in working with Africa will help the nation's firms win out in the economic competition, He said.
  "Competition won't be that fierce. After all, the conditions in the south are quite harsh and Chinese workers are known for their hard work and adaptability even when others find it difficult," Xia said.
  Sudan's oil facilities and infrastructure, many of which were built with the help of Chinese companies, are now mostly based in the north.
  The resource-rich south lacks fundamental economic supports, so the new government will likely welcome more Chinese investment, Xia said.
  Xia also said that China encourages its firms to establish joint ventures with foreign companies which excel in technology and have abundant funds.
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sijui tunakwenda mbele, tunarudi nyuma au ni kizungumkuti tu! halafu zimeanza kusikika story kwamba South Sudan inakaribishwa kwa mikono miwili kuwa mwanachama mpya wa EAC, ambayo ultimate goal ni kuwa na federation...; kazi kweli kweli!
   
 20. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi kama Taifa,

  is there any strategy behind the outcome of the split of Sudan?

  Tumejipanga ku-saize the opportunities zozote zitakazotokana na hii split? For example, bandari yetu ambayo najua inaweza ikatumiwa ipasavyo na SUdan katika kusafirisha mafuta yao...! Hawa watu wa Intelligence (wanaojita usalama wa Taifa) je wanalolote wanalolifikiria? Economic Interligence about the new Sudan? au wapo tu kufikiria kuchunguza mienendo binafsi ya watu na wapinzani?

  How about thinking of taking any proactive measures kuhusu hio oil reserve yao? Au watu bado tunakalia siasa tu tunasahau kufikiria with bing mind such events unfolding in the world?

  Wachina naona wao wameshachangamkia tenda, jamani viongozi wetu, tupunguze maneno, let try to act and be proactive on this king of issues...!
   
Loading...